Kutofutiwa usajili JUMIKI Z'bar; SMZ ni Wahafidhina? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kutofutiwa usajili JUMIKI Z'bar; SMZ ni Wahafidhina?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ibrah, May 30, 2012.

 1. Ibrah

  Ibrah JF-Expert Member

  #1
  May 30, 2012
  Joined: Mar 22, 2007
  Messages: 2,721
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Miaka michache iliyopita, Maalim Seif Shariff Hamad aliwahi kuleta mjadala kwa kusema tatizo la SMZ ni Wahafidhina walioko Serikalini. Sijui alimaanisha kama ni Uhafidhina wa Kidini au Kisiasa, ingawa yaweza kuwa ni wa aina zote au mojawapo.
  Yaliyotokea Zanzibar wiki ilopita, maandamano na kuchoma moto Makanisa (ingawa yametokea mara nyingi) yanaweza kuthibitisha hayo kwa sababu Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu ilisajiliwa kwa makusudi ya kidini lakini imejihusisha kisiasa zaidi kuliko dini.
   
Loading...