Uzalendo wa kweli ni kusema ukweli regardless: Imekuwa kawaida sasa watu kupindisha mambo ili ku-favor upande wao (vyama vyao)... Tunaomba uzalendo wasiasa please, msitupeleke kusikotakiwa kwa...
Wakuu heshima mbele.
Nimesikitika kuona hii picha ya simba wa Mikumi akiteseka na hii ni siku chache tu tangu waziri wa maliasili awasimamishe viongozi wa Serengeti national park. Kuna uzembe wa...
ND. NAPE
tukiachia mbali ushabiki wa kisiasa ambao mtu humvutia na kumjaza masifa kiongozi wa chama chake.
mimi si mfuasi wa chama chako bwana NAPE ila nimeku anikikufuatilia harakati zako tofauti...
haya ni maoni nimeyachomoa kwenye baadhi ya post za Mkandara huyu jamaa nakubali sana michango yake hanaga mambo ya kuremba na huu mchango nimeupenda ..samahani sana Mkandara kwa kuchukua bandiko...
Kwa muda wote makamba jr amekuwa akibainisha kuwa anaujua ukristu na Uislam ,pengine anaamini anazijua na dini zingine.Na hata ktk uzinduzi wa ktabu kagusia pia kuwa kuna maudhui ya dini .Maswali...
Wafanyakazi wa toyota branch la tanzania wamegoma, moja ya sababu ni mshahara mdogo sana waolipwa wafanyakazi wakitanzania. Huku wafanyakazi kutoka india na other experts, walikilipwa ma milion ya...
Katika kufatilia hali halisi ya mchakato wa kupata katiba mpya ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania, nimeona nami nitoe maangalizo na maoni yangu binafsi.
Zanzibari imeshatunga katiba yake mpya. Je...
THE ASSOCIATION FOR ISLAMIC MOBILISATION AND PROPAGATION
P. O. BOX: 1266 -Tel: +255-777-419473 / 434145- FAX +255-024-2250022 E-Mail: jumiki@hotmail.com
MKUNAZINI ZANZIBAR
Tarehe 27MAY2012...
Alijitokeza kama mpambanaji asiyeshindwa. alivalia njuga 'vua gamba' ya ndani ya chama chake. amekuwa msemaji sana hata mzee makamba akamlaumu kuwa anakifanya ccm kama kampuni yake. havi karibuni...
jamani kuuliza sio vibaya,nimepita hii mitaa ya bank kuu ya tanzania(BOT)nikielekea ocean road,nimekuta njia imefungwa kuna polisi kama 30!wenye siraha,huku kuna malori kama 6 yenye makontena...
Tofauti kati ya Nape na Hizza kisiasa ni kwamba Hizza alitoka CUF kwa mbwembwe na kuanza kuvishambulia vyama vya upinzani na kujumlishwa kwenye kitengo cha propaganda pale Lumumba wakati Nape...
Baada ya wabunge kuingilia kati kashfa ya mama kujifungua akiwa amesimama katika hospitali ya Amana jijini Dar es Salaam, Serikali imetangaza kuchukua hatua kali kwa watu waliohusika na uzembe...
Nasema hivi kwa haya yanayotokea huko visiwani zanzibar,,,,kwanza serikali imalize suala la muungano,,,,,maana wenzetu wamechachamaa na madai yao,,,endapo tutaendelea na zoez basi kuna uwezekano...
Pengo amekuwa sidelined baada ya kuonekana kuwa bado anasubiri draft ya tamko kutoka kwa bosi wake Vatican.
Sasa Maaskofu wengine wameamua kuachana naye na wamedemand kuonana na sheni ili wamsomee...
Wakubwa! Hamkani si shwari!
Ushauri nautoa kwako Mh sana JK!
Kwa MAMLAKA ULIYONAYO AMUA hili leo kwa ajili ya utulivu wa nchi yetu;
1 TANGAZA HALI YA HATARI ZENJ au VUNJA MUUNGANO!
Zaidi ya...
Wednesday, 30 May 2012 09:08 0digg
Na Mwandishi Wetu
BAADA ya Mahakama ya Rufani ya Tanzania kutoa hukumu yake ya Juni 16, 2010, kuhusu suala la mgombea binafsi na hatimaye kufuta...
miongoni mwa sababu zinazotajwa sana kupelekea mwalimu kuwa na wazo la kuunganisha tanganyika na zanzibar ni pamoja na suala la usalama, ilionekana kuwa zanzibar ingetumbukia kirahisi ktk siasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.