Kama muungano na Wazanzibar unashindikana je wa East Africa utakuwaje?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kama muungano na Wazanzibar unashindikana je wa East Africa utakuwaje??

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by rosemarie, May 30, 2012.

 1. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #1
  May 30, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  Dalili zote zinaonyesha wazi muungano wa Tanganyika na Zanzibar upo ukingoni,je kama huu mdogo tumeshindwa utakuwaje huu wa East Africa??kuna umuhimu wa kukaa na kutafakari na kuamua kujiondoa East Africa kabla hatujafika mbali???kwa ni Sadc haitoshi tuu??
   
Loading...