Jamani tigopesa weziii! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani tigopesa weziii!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ralphryder, May 29, 2012.

 1. Ralphryder

  Ralphryder JF-Expert Member

  #1
  May 29, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 4,589
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Pesa haziendi hewani kwa wakati, wakala anakwambia pesa kwake imetoka ukiangalia salio hulioni! Pesa ikienda kwa mtu mwinggine kimakosa unaambiwa itarudishwa kwako baada ya masaa 24 kumbe uongo mtupu! sina hamu nao na sitaki tena wizi wao!
   
 2. GAZETI

  GAZETI JF-Expert Member

  #2
  May 29, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 3,423
  Likes Received: 837
  Trophy Points: 280
  Pole sana, mimi sina imani sana na huduma hizi za kibenki
  zinazoendeshwa na makampuni ya simu.... Kidoooogo ZANTEL.
   
 3. Zamaulid

  Zamaulid JF-Expert Member

  #3
  May 29, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 15,197
  Likes Received: 5,387
  Trophy Points: 280
  tigo!?halafu pesa!!tigo-pesa!!!mmmh
   
 4. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #4
  May 30, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,914
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 160
  Wizi mtupu.
  Chukua hatua kama UHAMSHO.
   
 5. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #5
  May 30, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 10,995
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Nilishajisajili lakini kwa

  warning hii kamwe siweke

  hata senti tano.

  Mpaka watakapoimarika kikazi!

  Akheri ya M-pesa mara 99.8% niweke cash yangu kweli!
   
 6. A

  Arrive Member

  #6
  May 30, 2012
  Joined: Apr 26, 2012
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kweli mkuu. Mpesa ni wazuri za hata customer care wako serious na kaz. Nimeshawah kutuma pesa kwa kukosea namba na kuwasiana nao hata masaa 3 hayafik wanarudisha pesa.
   
 7. mapanga3

  mapanga3 JF-Expert Member

  #7
  May 30, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 629
  Likes Received: 505
  Trophy Points: 180
  tigopesa kama mpo jibuni hoja maana yote yaliyo andikwa humu ya ukweli mtupu hata mm mlisha niibia tena zaidi ya mara mbili!! Hongera za kutosha kwa m pesa hakika mpo makini nilishatuma hela na kukosea namba zaid ya mara tatu na zote zilirudishwa tena kwa muda mfupi.
   
Loading...