Swala Zanzibar si udini, Serekali wanajuwa Wazanzibar wanataka nini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Swala Zanzibar si udini, Serekali wanajuwa Wazanzibar wanataka nini?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kakke, May 29, 2012.

 1. Kakke

  Kakke JF-Expert Member

  #1
  May 29, 2012
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 1,797
  Likes Received: 389
  Trophy Points: 180
  Jee waungwana nani asiojuwa kuwa Sep 11 Waislam walitolewa tu kafara, lakini nyuma ya Pazia Kulikuwa na mkono wa Yahudu? Wao ndio waliokula kitoweyo na waslamu wakarushiwa mavumba (lawama).
  Sasa na hili lililotokea hapa kwetu kuchomwa Kanisa kuwa ndio sababu kubwa ya waiislamu (Muamsho) kuonyeshewa vidole nilazima tutanabahi otherwise wenye agenda watachekelea agenda yao kufanikiwa .
  Sasa nilazima tukae chini na tutafakari tusikubali kugonganiswa vichwa wenyewe kwa wenyewe tukawa wanafiki kama swala lile na Bisofia Kawawa lililo wagawa Mashehe katakana na woga wao hii itakuwa ni unafikii wa kuwalaumu Waislamu (Muamsho).
  Hakuna asiojuwa kuwa wakulaumiwa zaidi kwa hili ni Serekali na wao ndio wakubeba lawama sio Jumuia ya Maimamu MUAMSHO, hapa hawahusiki kwa hili na kuwaingiza nikuwaonea na Enzi hizo za kuoneana na kubambikizi case zimepitwa na wakati.
  Jumuia ya Muamsho ilifanya matembezi yake bila fujo na walimaliza bila fujo na wanacho kidai Muamsho kinakubaliwa na Wazanzibar 99 % lakini Serekali inapuza matakwa ya Wananchi wa Zanzibar na kujitia Pamba za Machikio?.
  Sasa kama kuwa-plam Muamsho kwa kudai kura ya maoni kuhusu Muungano kwanza kabla ya ukushanyaji maoni ya Katiba masi walaumuni wazanzibar wote? Na kama Muamsho Wana wahamasisha Waislamu sio kwa kuuvunja Makanisa nikudahi right zao kwa kisheria na katiba ya Zanzibar 1984.
  Na hisia hizo sio za Dini ya Kislamu tu,hata tunapokwenda kwenye misaa huingia humo kuona wanasema vipi wenzetu wa dini nyingine ? Na wao Maskofu wao husema kuliko hata Muamsho, ikiwa kusema nikuvunja sheria nikukamatwa mbona vyombo vya Dola hawendi kuwakamata Maskofu ili kuhubiri hali ya hatari?.
  Tusikubali kuchanganywa wananchi na watu wasiokuwa na nia safi na Zanzibar na sisi tukajichanganya wenyewe kwa wenyewe, ili wenye agenda yao kupita kirahisi.
  Viongozi wetu wa Serekali ya Mapinduzi ya watu wa Zanzibar wanajuwa fika kuwa Wazanzibar wanataka kitu gani, Na kama nikuvunja Muungano basi Wazanzibar hatuhitaji kibali kutoka UN au Tanganyika , sisi ni nchi Ilokuwaa huru na mambo yake yote ya nje na dani.
  Sisi sio South Sudan kuwa tuombe kiti au kibali UN, Sasa kama viongozi wetu wanajaribu kutupeleka kule tusikotaka kwenda basi hilo shimo watalingia wao na katakana kujuta kwa kutokuja kuwasamehe na kuwahukumu na baalaa watakazo zitengeneza .
  Wasijaribu ku-test sumu kuwa inauwa au haiuwi, Wananchi wa Zanzibar wakiwemo Muamsho tunawapaa tahazari wale wasio itakia mema Zanzibar na kufanya vitendo vya kutugonganicha vichwa basi wajuwe kuwa Wazanzibar wa sasa sio wale hewala Bwana .
  Wazanzibar tuko wake up kabla hakuja pambazuko , tatizo la Wazanzibar sio ukristo au dini nyingine hizo zilikuwepo kabla ya Sultan na Muungano na tumeishi na wenzetu kwa hali na mali pila kukwaruzana na hata Makanisa makubwa Yani sio hivyo vijijumba vilify jengwa mitaa.
  Nyani makanisa ya Mkunazini na Minara miwili yapo na mfalme ndio alio yaruhusuu ya wepo mpaka leo bila ya kuvunjwa wala kubuguziwa , lakini wasije wakristo kutoka Tanganyika (Maskofu) kuja kutuparaganya kwa kutumia udini.
  Zanzibar haina dini mbili tu ya Kislamu na Kikristo ziko dini nyingi na hawabuguziwi na ni wazanzibar wenye kuheshimika katika jamii zetu ,tumesheza wate na kukuwa pamoja ,tatizo la Zanzibar sio udini musibiruwe mamba Serekali viongozi wanajuwa Wazanzibar wanataka nini?.
  Na hayo makanisa yalochomwa moto yote yanasimamiwa na Maskofu kutoka Tanganyika na wao wanashindwa kutafauticha baina ya dini na siasa, wengi wao ni wakuu wa Janjawii ya makundi ya uasi yanayo tumili kwa njia ya kisiasa kufanya hujuma katika chaguzi na hivi sasa hutumika kuwahujumu Wazanzibar wenye kupinga Muungano.
  Hakuna chaka kuwa Serekali imeshawatengea mfuko wao ili kujenga Kanisa kubwa zaidi la horofa na Maskofu kupewa chao , haya yamezoweleka kwa vile ni wagereketwa wakuu wa ccm na hutumika katika vitendo vya hujuma wanapo hitajikaa .
  Waliovunja Kanisa ni Serekali na Sio waumini ya dini ya Kislamu Zanzibar wala Muamsho muambo walifanya matembezi ya hiari kwa salama na amani na kumaliza kwa salama na amani na kuchawanyika makwao .
  Lakini kilicho fuata baadae kama ni fujo au kuuvunja amani ni wao Serekali akiwemo Kamishna wa Polisi na Mkuu wa Usalama kumkamata Amiri wetu Usiku na hali ya kuwa taratibu za kuwapata viongozi hao wanazijuwa.
  Kwa hio hapa Muamsho tutawalaumu vipi kuwa wamefanya fujo? Au fujo yao ni kupigwa mabomu na marungu? Na tuna mpa salamu waziri wa mambo ya ndani Mh Mjimbi kuwa Wazanzibar husitugawe kwa misingi ya udini.
  Wewe ni waziri na sio Askofu, usiseme kuwa nitawakama waislamuu hata katika njee ya Miskiti yao? Jee wewe unaushahidi gani kuwa walochoma Kanisa moto ni Wausau na sio vigogo wa sere kali kutuma magenge yao? .
  Inaonekana hujuwi historia ya Zanzibar huko nyuma na vitendo vya ccm winze Zanzibar?
  Tukikupa uchahidi kuwa vigogo wa ccm wameshiriki katika hujuma hizi utatwambiaje? Usitowe maneno tu bila ya kuchunguza ? Siwakati tena wa Wazanzibar kutishwaa kwa vyombo vya Dola visivyo fuata sheria .
  Jee Mjimbi tukikwambia kuwa kuna watu mwezi huu wa May 11 walikwenda Israil kisingizio ni ziara ya Kiserekali lakini tetesi zinasema nikwenda kufundishwa mbinu za kuvizibiti vikundi vya Wazanzibar wanaobinga Mundane .
  Kwa waisrail wanajuwa Zanzibar 99% ni waislam kwa hio watapewaa msada wowote , huyu ndio rafiki wa Serekali ya Smz.
   
 2. Pharaoh

  Pharaoh JF-Expert Member

  #2
  May 29, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 843
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Zanzibar waislamu 74% tu
   
 3. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #3
  May 30, 2012
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  Kakke; kwanini kikundi cha kidini cha Uamsho hakijatumia vyombo vya siasa (vyama vya siasa) kusukumiza hoja ya kupinga Muungano na badala yake wameamua kutumia majukwaa ya kidini? Kwanini wanaohutubiwa ni "Waislamu" badala ya "Wazanzibari"?
   
 4. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #4
  May 30, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Kwani Waislaam katiba haiwahusu?
   
 5. acer

  acer JF-Expert Member

  #5
  May 30, 2012
  Joined: Apr 4, 2012
  Messages: 1,596
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  kama si udini mbona mwachoma makanisa atii?!!
   
 6. A

  Alhabaad Member

  #6
  May 30, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 72
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wana maskan wa ccm ndio waliochoma makanisa
   
 7. F

  FJM JF-Expert Member

  #7
  May 30, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Ukimtuhumu mtu kuwa ameua ni vema pia ukasema sababu au 'motive' ya huyo mtu kuuwa. Hapo kwenye red, naona kama mleta hoja ameweka motive ya kuchoma hayo makanisa! Na ukiendelea kusoma hapo kwenye blue inaenekana kama kuna mlolongo wa sababu za kuchoma moto. Kama nimemwelewa mleta hoja ni kwamba maaskofu hawa toka Tanganyika walienda Israel kama sehemu ya mkakati wa kudhibiti wanzanzibari! Inawezekana kweli hii? Mbona Makamu wa pili wa rais Balozi Seif alikuwa Israel week chache zilizopita, naye ni sehemu ya mkakati huo?

  Hata hivyo tunaambiwa kanisa la mwanakwere na nyumba wa watawa ni RC. Na RC ndio hao wa kanisa la minara miwili ambao wapo tangu wakati wa sultan. Hawakuja leo Zanzibar. Sasa wamechomewa kwa sababu gani kama wamekuwepo muda wote huo tangu wakati wa Sultan?
   
 8. R

  RMA JF-Expert Member

  #8
  May 30, 2012
  Joined: Oct 10, 2010
  Messages: 409
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  CCM walitumia Green Guard wakaona haifai! Wakatumia Bakwata, wakaona hailipi! Sasa wanajificha chini ya mwavuli wa Uamsho mithili ya nyoka aliyeficha kichwa chake ndani ya shimo wakati mkia upo nje! Pamoja ha hila zao hizo haramu, bado wamegundulika!
   
 9. F

  FJM JF-Expert Member

  #9
  May 30, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Katiba inawahusu Wanzibari wote, waislam, wakristo, wahindu, zorostian (dini ya Fredy Mercury), na hata wapagani kama wapo Zanzibar.
   
 10. i pad3

  i pad3 JF-Expert Member

  #10
  May 30, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 1,520
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  atizo sio muungano ingekuwa tatizoni muungano wangeend kuchoam moto ofisi za ccm
   
 11. fige

  fige JF-Expert Member

  #11
  May 30, 2012
  Joined: Jul 4, 2010
  Messages: 376
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tatizo kubwa ni mbinu waliyotumia ndiyo inayoelezea nia.
  Lakini kiukweli wengi hatupendezwi na mfumo huu wa ndoa, na mbaya zaidi ni juu ya amri ya kutokuruhusu mjadala.
  Wananchi tunataka tuujadili muungano ,viongozi hawataki.
  Tatizo kubwa hapa ni kwa sababu binadamu(watz) hutengeneza kinyago (kiongozi) kwa mikono yake(kura) kisha kuanza kukiabudu.
  TUNATAKA MAMLAKA YARUDI KWA WANANCHI.
   
Loading...