Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Viongozi wa dini nchini, wamelaani vikali kauli ya Rais wa Marekani Baraka Obama, Waziri Mkuu wa Uingereza, David Cameron iliyoungwa mkono na Rais Mpya wa Malawi, Joyce Banda ya kutambua kisheria...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Umma unashuhudia hali tete ya machafuko ambayo hayakutarajiwa yakiibukia tena Zanzibar, wakati ambapo Nchi ilishaanza kunawiri matunda ya utulivu na maridhiano, chini ya Serikali ya Umoja wa...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
SITOMSAHAU BABA WA TAIFA MWALIMU NYERERE USIA WAKE..................................................... MUNGU AMUWEKE PEMA PEPONI.....................
3 Reactions
0 Replies
10K Views
Ndugu zangu Wabara, wala msihangaike kupambana na Wazanzibari! Hakuna nchi itakayoitwa Zanzibar miaka michache ijayo kutokana na tabia mabadiliko ya tabia nchi. Kisiwa hiki ni miongoni mwa vilivyo...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Serikali ya mapinduzi zanzibar imesema italipa garama zote za matengenezo ya makanisa yalioharibiwa. Swali la kujiuliza kama kanisa la kwanza lilichomwa juzi, je serikali ilishindwaje kuweka...
2 Reactions
45 Replies
4K Views
Wakili maaruf sana wa serikali marehemu Bonifase Stanslaus amefaliki ghafla jana. Habari kutoka kwa ndugu wa karibu zinasema alipatwa na mshituko ghafla na kufariki mara baada ya kutoka arusha...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
salaam sana wana JF. Nyerere (RIP babu yangu) ulitueletea azimio la Arusha na watu wakatembea kwa mguu kutoka Arusha kwenda (hapa sina uhakika ni Dar ua Dom) (rest in peace Seth Benjamini )...
0 Reactions
1 Replies
902 Views
KUANZIA IJUMAA YA TAREHE 1/06/2012 CHINA & JAPAN HAWATATUMIA TENA USD KWA BIASHARA KTK NCHI ZAO hii inamaana USD haina nafasi tena kwa nchi hizi mbili
0 Reactions
12 Replies
1K Views
  • Closed
Wakubwa! Poleni na mishemishe ya kuwinda riziki viwanjani! Manake kila kukicha afadhali ya jana! Kwa sasa kiwanja cha riziki Zenj wamebana, sijuitakuwaje, na Tg wakiweka contena? Zenj Zenj...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
  • Closed
Katika vipindi mbalimbali nchini mwetu Tanzania, tumeshuhudia vurugu na fujo zenye mwelekeo wa kidini. Kuanzia zile za uvunjaji wa bucha za nguruwe (Tanzania Bara), uchomaji wa baa (Zanzibar)...
2 Reactions
23 Replies
4K Views
Tayari baadhi ya taasisi zimeanza kuwaandikia barua wafanyakazi wao kuwajulisha juu ya kuchelewa kwa mishahara ya mwezi wa tano. Katika barua hizo inaelezwa kwamba hazina ipo kimya kabisa...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
jamini tusijaribu kuchanganya siasa na dini. poleni wahanga wote.
0 Reactions
1 Replies
980 Views
Katibu wa Bunge Dr Kashilila amesema Afya ya mbunge wa Korogwe vijijini mh.Stephen Ngonyani ,maarufu kama Profesa Majimarefu inazidi kutengemaa na kuanzia sasa wakat wowote atarud nyumban,,,,Dr...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
wana jf mimi huwa najiuliza hili swali naomba ufafanuzi. hivi kati ya zenji na bara nani anayenufaika na huu muungano na ni kwanini?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Leo naona makamanda wako busy na Zanzibari, wamesahau kabisa M4C. Leo mkutano uko wapi, au kuna shughuli gani inaendelea. Je Shibuda ameshaomba radhi kwa Heche.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Posted on May 28, 2012 by zanzibaryetuZanzibar leo hii imejikuta ikirejea kule ilipotoka baada ya matukio ya uvunjifu wa amani kujitokeza kwa mara nyengine tena ambapo wananchi na jeshi la...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Katika Gazeti la Jana la Tanzania Daima lilikuwa na maelezo kuhusu vurugu zilizotokea huko Zanzibar pamoja na picha mchanganyiko wa vurugu hizo lakin cha kustua na kuhuzunisha ni kufanya mambo...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
  • Closed
Monday, May 28, 2012 Kanisa la Mpendae. Picha zote na mjumbe wa jukwaa la Mjengwablog aliye Unguja. Picha kwa hisani ya Mjengwa Blog
2 Reactions
76 Replies
9K Views
Kwa wale mnaojua naomba mtusaidie tulio weng juu ya izi scale za serikali. kama TGS-D,C B,A,E ni shiling ngap range
0 Reactions
1 Replies
994 Views
Back
Top Bottom