Ewura | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ewura

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Sweet Ami, May 29, 2012.

 1. S

  Sweet Ami Member

  #1
  May 29, 2012
  Joined: May 20, 2012
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jaman mtusaidie Iringa mafuta ya taa imekuwa ishu. Wiki ya 2 hayapatikan hapa mjin je ni uchakachuaji au kuna shida gan maana serikal haisemi lolote au inaona kawaida? Tuokoeni!
   
 2. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #2
  May 29, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  sio huko tu hata dar ni yale yale...
   
 3. M

  Mmwaminifu JF-Expert Member

  #3
  May 30, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 1,097
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Wamesema wanataka tutumie mafuta ya ndege (hope with some modifications) in the time being wakati wanaagiza mafuta.
   
 4. ketwas

  ketwas JF-Expert Member

  #4
  May 30, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 213
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Kma mtatumia mafuta ya ndege angalieni vizuri kwani wale wanaotumia makoroboi na vibatari na jamii nyingine zinazotumia mafuta ya taa vinaweza kuruka kama ndege,mshangae asubuhi au umeshtuka usingizini unakutana na kibatari kinapiga doria juu ya chumba ulicholala,au jiko la mchina linapepea juu na sufuria la maji ya kuoga sijui utalituaje chini
   
Loading...