Watanzani kuanza kulipwa fidia.

Senator p

JF-Expert Member
Oct 27, 2011
282
43
Kuna haja bunge kutunga sheria ya kuwabana wenye makampuni ili watoe huduma nzur zaid.Hapa naongelea hasa simu na umeme(TANESCO).kama wakikata mawasiano kwa mda flan wawalipe wateja wa 10%ya mda waliokata kma vile mda wa maongez,mb za bure na sms za bure,pia unit kwa umeme.Hii itawafanya kuwa makin na kutoa huduma zao kwa ubora zaid.
Nawasilisha.
 
Kesi ya ngedere kwa nyani. Hao wabunge ndo wengine ni wajumbe wa bodi za wakurugenzi za hayo makampuni kwa hiyo huo mjadala hautapita hata kwa greda!
 
Back
Top Bottom