JF Inaweza kukufukuzisha kazi

JF Inaweza kukufukuzisha kazi

Mkurabitambo

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2010
Posts
230
Reaction score
57
kumekuwapo na ongezeke kubwa la matumizi ya mtandao kwa maana ya kutoa maoni.Hoja yangu ni kuwa 2jaribu kuandika v2 wth facts n research as real a great thnkers..nadhan hata Mods yawapasa kuedit motto yetu,kwamba..
JF is were we dare to talk openly with facts
wenu mdau mwanauhamsho..
 
Nikafikiri nini sijui.. hafu kumbe we ni mwanauamsho..
 
tittle na kilichomo haviendani

kuna rise concern bout how secure our accounts in social network n other platform,how privacy are they? Who are the mods? Je ikitokea mods wa humu ndan ni bosi wako afu wewe ukadare talk openly kwa kuropoka bila fact,unadhan utapatwa na nin.
Nimeichukulia JF kama mfano.
 
kumekuwapo na ongezeke kubwa la matumizi ya mtandao kwa maana ya kutoa maoni.Hoja yangu ni kuwa 2jaribu kuandika v2 wth facts n research as real a great thnkers..nadhan hata Mods yawapasa kuedit motto yetu,kwamba..
JF is were we dare to talk openly with facts
wenu mdau mwanauhamsho..

Great Thinker Mbako, naomba unifafanulie hilo neno ulilotumia, umeniacha kidogo.

:ranger:
 
Last edited by a moderator:
kumekuwapo na ongezeke kubwa la matumizi ya mtandao kwa maana ya kutoa maoni.Hoja yangu ni kuwa 2jaribu kuandika v2 wth facts n research as real a great thnkers..nadhan hata Mods yawapasa kuedit motto yetu,kwamba..
JF is were we dare to talk openly with facts
wenu mdau mwanauhamsho..[/QUOTE]

Samahani mimi binafsi sina mdau "Mwana Uamsho"

Tayari umeshaunguza makanisa kule ZNZ sasa unataka kuiunguza na JF. USHINDWE NA ULEGEE....

Hapa watu wapo huru kutoa maoni na hata Katiba ya JMT inaturuhusu kutoa maoni. Hata kama unafanya kazi Ikulu na kuna mpya au vitu vinafanywa sivyo, wewe weka hapa tunarekebishana na kukosoana. Tuachohitaji weka na Ushahidi (Source)

Hakuna atakayekufukuza kazi, Lete maoni hadharani usiogope Mtanzania.

NI UPEPO TU UTAPITA......

MIZAMBWA
NABII MTARAJIWA!!!
 
Hahah..mshkaji karopokaneno nini ofisini....angalia umelitoa jukwaa gani mkubwa...lol!
Chezea mshahara usicheze na kazi!!!
 
kuna rise concern bout how secure our accounts in social network n other platform,how privacy are they? Who are the mods? Je ikitokea mods wa humu ndan ni bosi wako afu wewe ukadare talk openly kwa kuropoka bila fact,unadhan utapatwa na nin.
Nimeichukulia JF kama mfano.
Usiwe mwoga mkuu kutoa dukuduku lako kama una ushahidi wa kutosha. Katiba inakulinda ili mradi usivunje sheria!
 
nilidhani unataka kuelezea kuwa watu wawe makini huko makazini kwao wanapotumia mtandao etc, kumbe umeandika kitu tofauti. mmmhhhhh!!!!
 
kumekuwapo na ongezeke kubwa la matumizi ya mtandao kwa maana ya kutoa maoni.Hoja yangu ni kuwa 2jaribu kuandika v2 wth facts n research as real a great thnkers..nadhan hata Mods yawapasa kuedit motto yetu,kwamba..
JF is were we dare to talk openly with facts
wenu mdau mwanauhamsho..

?????????????????????
 
Back
Top Bottom