Sisi tuendelee kuuchapa usingizi na kuogopa kuruhusu mambo mengi katika EAC

MduduWashawasha

JF-Expert Member
Mar 5, 2008
1,653
601
Future of Nairobi


Siui tunashindwa nini kutumia Reli ya Posta - Ubungo mapaka Wazo Hill (Ramani zipo tu walioenga kwenye proposed railway si wavunjiwe tu nyumba !!),Reli ya Posta Mpaka Pugu kupunguza kero za fleni dar.

Hivi ukinunua mtambo wa kumonitor mawasiliano yote ya simu TZ na useme utachaji kodi ya Sh 1 kwa kila Mesei inayotumwa na Shs 3 kwa kila simu inayopigwa kwa dk kwa mwaka utapata zaidi ya Trillioni 18.AMIN NAWAAMBIA UKICHANGANYA NA BAHARI NA MADINI NA GESI TU nchi hii inajitegemea kwa kila kitu bila kupigia goti wazungu.Barabara , Reli, Ndege , Hospitali ,Shule vyote vitakuwa safi.inaudhi mpaka basi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom