Meya Bukoba Anatory Aman amkunja shati Mwandishi wa Habari

Mathias Byabato

JF-Expert Member
Nov 24, 2010
1,020
691
Anadaiwa kumkunja shati mwandishi wa habari wa gazeti la mtanzania Audax mutiganzi kwa madai kuwa amekuwa akianadika habari za kudhalilisha manispaa ya bukoba.kuna issue ya kuboboa soko kuu ambapo kampuni iliyopewa tenda y akulijnga inadaiwa haina sifa,sasa mwandishi huyo amekuwa akifuatilia isuue hiyo hivyo alipomfuata ofisini kwake kumuhoji,alimkwinda na kumsukuma nje.mwandishi huyo amefunfua kesi polisi na kupewa RB
 
Utovu wa nidhamu kiongozi mzima behaving like a hooligan!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom