tubakie na ujirani mwema mungano basi tenaa tukilazimishana tunakaribisha majanga mbele | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

tubakie na ujirani mwema mungano basi tenaa tukilazimishana tunakaribisha majanga mbele

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by abdul 28, May 29, 2012.

 1. a

  abdul 28 JF-Expert Member

  #1
  May 29, 2012
  Joined: May 29, 2012
  Messages: 325
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  wazanzibar tunacho kidai ni kujitenga na muungano wa tanganyika na zanzibar
  HATUWA WALIZO ZICHUKUWA WAZANZIBAR AMBAZO NI SALAMA KABISA
  1) WALIKWENDA UN KUDAI UHALALI WA MUUNGANO JE SEREKALI YA TANZANIA SEREKALI YA ZANZIBAR NA SEREKALI YA TANGANYIKA ILISEMA NINI JUU YA HILII
  2) WALIKWENDA OFISI ZA UN ZILIZOPO ZANZIBAR KINAZINI WAKADAI KUJITOWA KWENYE MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR
  3)WALIKWENA OFISI ZA BARAZA LA WAWAKILISHI NA KUKUSANYA SAHIHI ZA WANANCHI ILI KUITISHA KURA YA MAONI DHIDI YA MUUNGANO JE SEREKALI HII YA TANZANIA IMESEMA NINI NA SEREKALI YA ZANZIBAR IMESEMA NININA SEREKALI YA TANZANIA IMESEMA NINI
  4) WALIKWENA KWA MAHAKAMA YA ZANZIBAR KUDAI HATI YA MUUNGANO MAHAKAMA AU SEREKALI YA ZANZIBAR IKASEMA HAINA MKATABA WA MUUNGANOO
  MENGINEE NI HAYA
  TUME YA JAJI NYALALI,JAJI NYALALI NA AMINA SALIM ALY ZOTE ZILITOWA MAONI NA HISIA ZA WAZANZIBAR JUU YA MUUNGANOO
  JE HAYA YALISHUGHULIKIWA AU YALIACHWA TU JE NINI TULIJUWA ATHARI ZAKE ZA BAADAEEE HAWAKUJUWA WATAWALA
  HUJUMA ZA CCM NA SEREKALI YA TANGANYIKA KWA KIVULI CHA MUUNGANO KUSHIRIKIANA NA WATU WNAOWEKWA MADARAKANI KWA NGUVU YA CHAMA ZANZIBAR
  1) KABLA YA UCHAGUZI 1995 WALITUMIA HUJUMA ZA KUTIA MAVI VISIMA PEMBA NA KUENELEZA SERA ZA UUNGUJA NA UPEMBA AMAYO KWA MASIKITIKO MAKUBWA NDUGU ZETU WATANGANYIKA HUUICHUKUWA HII SERA YAO NA KUSEMA KUWA UKIVUNJIKA MUUNGANO WAZANZIBAR HATUTAKAA SAWA TUTABAGUWANA
  JIBU JE UMEWAHI KUSIKIA UCHAGUZI ZANZIBAR JIRANI WA UNGUJA NA MPEMBA WANAOKA JIRANI WAKAPIGANA WAKATUKANANA, MBONA TANGANYIKA WATU CHAGUZI NDOGO NDOGO TU WANACHINJANYA NA KUUWANA JUZI TU ALIKATWA KICHWA KATIBU WA CHADEMA
  2) CCM KWA MAKUSUDI KUUNDA JANJAWIRIII ILI KUPIGA RAIYA USIKUUU
  3)KULETA JESHI LA JWTZ KUJA KUPIGA WATU NA KUGEUZA MATOKEO YA UCHAGUZI
  4)TUMESHUHUDIA MKAPA AKIITANGAZIA ZANZIBAR KUWA KUNA UGAIDI WAKATI HUU HUO AMESHA WAUWA WAZANZIBAR PEMBA NA KWENGINEKOO  SERA ZA RAIYA WATANGANYIKA
  WAZANZIBAR HAWAJITOSHELEZI VYAKULA VYOTE WANANUNUWA KUTOKA BARA KWA SASA HIZO BEE ZA MCHELE ZANZIBAR UNAO INGIZWA NJE IKIWEMO BASMAT NI SAWA KIBEI NA MCHELE WA MBEA NA KUNA MICHELE MIZURI NA BAEI AFADHALI YA MBEYA
  PIA HIZI NI BIASHARA BAINA YA NCHI NA NCHI SIO LAZIMA KUTUUZIA TUTAKULA HIYO MICHELE YA NJE
  CHA AJABU HIYOO TANGANYIKA WANOSEMA WATUUZIA MCHELE NI NCHI AMBAYO UN WANAIFAHAMU NI NCHI KAME KILA MIAKA MIWILI AU MITATU INAINGIA NJAA KWA MAANA YENYEWE HAIJITOSHELEZI CHAKULA HOJA YA MBATATA NA VITUNGUU
  UDINI JAMANI WAKRISTU WA GOHA NA BANIANI WALIKUWEPO TANGU ZAMANI WAKIABUDU ZANZIBAR HAKUNA ALIYE WAPIGA WALA KWAKERA SASA LEO HUJUMA YA USALAMA WA TAIFA DHIDI YA WAPIGA MUUNGANOO IMEKWA NDIO KASUMBA YA WATANGANYIKA WENGI
  KUHUSU UMEME TANGANYIKA HAIJITOSHELEZI KWA UMEME NI NCHI PEKEE DUNIANI INOZIMWA UMEME MJINI KWA MASAA 12 MARA MGAOO SASA HII NI BIASHARA ZANZIBAR BAADA YA KUVUNJIKA MUUNGANO WATANUNUWA NA KULIPA UMEME KAMA MTEJA UKITUSHINDA TUTATAFUTA CHAZO CHETU CHA UMEME
  ZIPO NCHI NYIMGI DUNIANI HUTEGEMEA NCHI NYENGINE KWA NISHATI MFANO KAMA NCHI ZA JUMUIYA YA ULAYA ZOTE ZINATEGEMEA GESI KUTOKA RASSIA NA NATO NI ADUWI WA RUSSIA LAKINI HAPA NINALIONYESHA SUALA LA BIASHARAA
  IMEFIKA WAKATI WATANGANYIKA MUTAFAKARI SIO MULETE HIJA ZA VITUNGUU NA MBATATA
  KUNA MIUNGANI MINGI ILIVUNJIKA NA WATU WALISHI KWA SHERIA HUSIKA ZA NCHI


  IMEFIKA WAKATI SUMU MUNAYO IPANDIKIZA YA UDINI KUPITIA USALAMA WA TAIFA HII NI MBAYA KWA TANGANYIKA SABABU HUKO KUNA DINI MBILI KUU PIA MAKABILA MENGI SANAA
  MUSIPIGANE KWA CHAGUZI NDOGO NDOGOO MUSITUAMBIE WAZANZIBAR TUNA KIBANZI JICHONI WAKATI NYINYI MUKO NA BORITI YA MUNGU APEWE MUNGU YA KAISARI APEWE KAISARI HAPA IMEEHIMIZWA HAKIIII

  WATANGANYIKA TUBAKI NA UJIRANI WEMWA
   
 2. F

  FUNGO jr JF-Expert Member

  #2
  May 29, 2012
  Joined: Oct 28, 2011
  Messages: 252
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  njoo muwatoe wapemba wenu huku kariako maramoja hatuwataki magaidi alshab bhokho haramu to keen kwa jina la tanganyika mshindwe na mleegee mtaka kanzu ziwavuke.
   
 3. a

  abdul 28 JF-Expert Member

  #3
  May 30, 2012
  Joined: May 29, 2012
  Messages: 325
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  jenga hoja sio kuburi wala jazba mkuuu hao wapemba ukivunjika muungano wakitaka kubaki tanganyika watakuwa ni watanganyika wenye asili ya zanziba na atakae kaa na uraiya wa zanzibar atalipa kodi zote kwa mujibu wa sheria ya tanganyika ijayoo na wazaramu wamasai atakae taka kubaki zanzibar atakuwa ni mzanzibar na akikaa na uraiya wa tanganyika basi atalipa kodi kwa mujibu wa sheria za nchii sasa sio wakati wa vitunguu au karanga tujenge hojaaa
   
 4. Pharaoh

  Pharaoh JF-Expert Member

  #4
  May 30, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 843
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Zanzibar sio nchi, ni kisiwa cha Tanzania, ila sio nchi hata kidogo. Kisiwa cha Nyerere kwani ndie aliyemnyang'anya Sultani anaejaribu kukirudisha sasa kwa kutumia Ugaidi
   
 5. segwanga

  segwanga JF-Expert Member

  #5
  May 30, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 2,790
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Aah! Hata huwa mkali lakn mwisho wake ni kukamuliwa tu
   
 6. DGMCHILO

  DGMCHILO Member

  #6
  May 30, 2012
  Joined: Aug 6, 2011
  Messages: 73
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Muungano umeshavunjika
  hauunganishwi tena hata kwa SUPER GLUE
   
 7. N

  Ndjabu Da Dude JF-Expert Member

  #7
  May 30, 2012
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 3,660
  Likes Received: 415
  Trophy Points: 180
  Zanzibar siyo Sudan ya Kusini. Sudan ya Kusini walipigana miaka zaidi ya 30 na Waaarabu wa Kaskazini hadi kufikia kufanyika kura ya maoni. Sasa hao Uamsho nao waanze mkakatati wa kumwaga damu au ugaidi tuone watafika wapi hata kwa mwezi mmoja.
   
 8. k

  kicha JF-Expert Member

  #8
  May 30, 2012
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 511
  Likes Received: 536
  Trophy Points: 180
  mkuu humu jf mada za zenji hata kama una haki na ushahidi watu hawapendi, na ungoje kukejeliwa tu ila hapa uwasifu chadema bila kuangalia zuri au baya utafagiliwa, rejea ya nasari, au haya yakiisha mponde JK, mi nashindwa kuwaelewa hawa wanjiita gt.
   
 9. m

  mzeelapa JF-Expert Member

  #9
  May 30, 2012
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 1,034
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Muungano ukivunjika kutaipunguzia kazi Chadema, maana kuingia kule visiwani iko kazi.
   
 10. K

  KIDUNDULIMA JF-Expert Member

  #10
  May 30, 2012
  Joined: Aug 18, 2010
  Messages: 775
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 45
  ni kweli no bora tubaki kama majirani. Mbona Kenya, Uganda, Rwanda na Burundi tunashirikiana nao kwanini zanzibar isiwe huru na tukaendelea kushirikiana.
   
 11. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #11
  May 30, 2012
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,590
  Likes Received: 1,676
  Trophy Points: 280
  Kila laheri!
   
Loading...