Je watarusha matangazo ya nyinyiem, au hawatarusha. Ikumbukwe tbc ni tv ya taifa, kwa hiyo maamuzi ya kurusha ccm kutoka cdm-sqr yataacha maswali kwa nini hawakurusha ya cdm.
Mwenyekiti wa NCCR Jemus Mbatia ametajwa kwa mara ya kwanza na Mwenyekiti wa Chadema Mh Freeman Mbowe na kuwakataa Wabunge wake waliiopewa Mashart na Rais Kikwete kuhakikisha kwamba...
huwa najiuliza hawa ccm wanaagizaje mzigo wa sare\\\\\\\\\\\\\\\\\\\\\\\/
huwa wananunua nyingi na kuweka store au kila likitokea jambo wanapiga simu china faster?
maana nasikia kesho wanataka...
Wana Jf nikama hawa jamaa wa Tanesco wameanza mgao wakimyamya!Hii nikutokana namakatizo yaumeme yanayoendelea maeneo hasa huku kimara nimesikia kigamboni wanapiga mayowe pia sijui nanyi wana Jf...
REDET imekuwa ikikusanya kura za maoni (opinion polls) kuhusu masuala mbalimbali ya kitaifa. Kwa muda mrefu sasa, REDET hawajafanya utafiti. Tunaomba sasa REDET iamke na kukusanya maoni ya...
Jamani nilipambana magamba kupinga matumizi mabaya ya raslimali za nchi hii sikusikilizwa.,...nikaamia magwanda nikisisitiza msimamo uwe katiba ivunjwe mwaka huu maana nhi inaangamia naambiwa eti...
Waheshimiwa,
Natarajia kusafiri kwenda Singapore hapo karibuni, naomba mtu ambaye ajaua taratibu za kupata visa ya kwenda huko maana hawana ubalozi hapa bongo.
Nitashukuru kupata ushauri huo...
Jamani, mnapojadili swala la kuvunjika kwa muungano kaeni fika mkijua kuwa wengi tutaathirika.
Baba yangu ni Msukuma na mama yangu Mpemba, je mimi niende wapi?
Najihisi kukataliwa kila sehemu ya...
Ni Doctor Reginald Mengi yule mmiliki wa makampuni ya Ipp media ameamua kuwajali wafanyakazi wake wote kwa kujali maslahi yao. Ni kwamba sisi wafanyakazi wa kawaida ametupandishia mshahara. Kima...
tafadhali kwa anaejua itasikilizwa lini atujuze,na vipi kuhusu majaji wanaorudia hiyo kesi huwa wanapatikana vipi,yaani ni utaratibu gani huwa unatumika kuwateua?kwa harakaharaka ukiangalia hii...
Katika hali ya machafuko amma ya kiasa amma ya kijamii kwenye nchi, waandishi wa habari na hususan wahariri wa magazeti wanatakiwa wawe makini sana na kuwa mstari wa mbele kutuliza machafuko kwa...
Habari hii nimeiona Michuzi nikaona kuwa niilete huku maana wigo wake ni mpana zaidi. Kama kuna ndugu au jamaa wa Sadock Mgamba wajitokeze.
MICHUZI: msaada tutani: ndugu wa mdau sadock mgamba...
Gazeti la jambo leo la tarehe 8 Juni 2012 limeandika "LOWASA ACHANGISHA BILIONI 421".
Ukifungua ukurasa unaofuata kwenye content utakuta wameandika hivyohivyo bilioni 421.
Lakini baadaye...
Pesa zilizokuwa zimetolewa na benki kuu kama fidia ya kuzihamisha ofisi za makao makuu ya Idara ya afya ya jiji la Mwanza kutoka eneo la Makongoro (maarufu kama Kliniki) zimetafunwa na mkurugenzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.