Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Jamani naombeni msaada jinsi ya kufika Us embassy nikitokea mwenge. Nishuke kituo gani. Please help
0 Reactions
3 Replies
1K Views
jangwani hakuna jipya leo zaidi ,ccm imepoteza mashiko
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Na Jabir Idrissa Hali mbaya ya usalama iliyoanza Jumamosi usiku, imesadifu nilichokieleza wiki mbili zilizopita. Nilimsihi Rais Dk. Ali Mohamed Shein, kupitia safu hii, kuwa asikubali...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
  • Poll Poll
Kwa jinsi hali ya mambo ilivyo inaelelekea engi tutaaminishwa kwamba wazanzibari wengi wanapenda kujiondoa kwenye muungano wa sasa. Inawezekana kabisa hata wa-bara (watanganyika) nao walio wengi...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Two British women in their 100s have been named the oldest sisters in the world, after one celebrated a record breaking birthdays. Marjorie Ruddle, who recently turned 105, and Dorothy Richards...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kipindi cha kuelekea kuanza kwa mashindano ya Uero 2012 StarTimes walikuwa wanatoa matangazo kwamba kupitia kwenye king'amuzi cha Startimes.. watakuwa wanaonyesha moja kwa moja fainali hizo...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Vijana maisha tunao ishi sasa hapa tanzania siyo kusudi la mweyezi mungu alieiumba nchi yetu,maana mungu ametupa vitu vingi kiasi kwamba nchi nyengine zinatamani kuwa na mali kama zilizopo hapa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Hiva majuzi kulikuwa na kipindi kilichorushwa katika ktuo cha televisheni cha Clouds kilichohusu Ukweli kuhusu Freemasons, kwa kifupi wageni waalikwa ktk kipindi kile hakuna chochote...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari ni ndefu lakini naomba msome mpaka mwisho. Si maneno yangu bali nimeileta kama ilivyo. Ninatumaini watakaoguswa watamsaidia. ATHUMANI HAMIS AONGELEA MUSTAKABALIWA MAISHA YAKE NA AOMBA...
2 Reactions
33 Replies
6K Views
Hii ni katika kuongea hasa kwa vijana hawaongei kiswahl sanifu,yaan wanakela maneno 3 kiswhl mawili kingereza.Wanawaiga wa marekan kuongea kingereza cha wingereza na lugha zao.Sina maana wasiongee...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Nimesubiri miaka 4, walituzuia kujenga nyumba kwenye maeneo/viwanja vyetu ati kuna mradi wa kuiendeleza Kigamboni . Wamepita na kuchukua majina kwa ajili ya tathmini lkn majina yetu wengine...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Waungwana, naomba kuuliza, Naishi ugaibuni na nilimaliza shule Miaka miwili iliyopita na sasa nataka kurudi nyumbani na vitu vyangu, Naomba kuuliza je bado ninahaki ya tax exemption au sinahaki...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
https://www.jamiiforums.com/habari-na-hoja-mchanganyiko/276398-jerry-muro-atangaza-kituo-cha-tv-atakachofanyia-kazi.html Pitia link/mada hapo juu yenye mlengo wa kujitangaza. Huu mtindo wa...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Wakuu leo tuongelee hili jambo la kusema eti Tanzania kuna uhuru wa kutoa maoni. Mimi nasema si kweli!!! Ukweli ni kwamba kuna uhuru wa vyombo vya habari yaani vimeruhusiwa kuanzishwa na kufanya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ukikwama na kuwapigia ni taabu sana kuwapateni tatizo ni nini? Mbona USA unapiga Call centre haraka unajibiwa? Ni heri mzitoe kabisa tujue hakuna Namba za Huduma kwa wateja. Nawasilisha.
0 Reactions
6 Replies
3K Views
This is yet another Shocker…. Her name I got was Cynthia, she was picked by an Alhaji, and they went to have fun, after that the Alhaji took her to his guest house, and gave her $2000 to suck and...
8 Reactions
62 Replies
24K Views
Mimi nimetembelea maeneo ya Mabogini kilomita kama tano toka Moshi mjini nikiwa katika hii Reli, kweli hali ni mbaya sana kiasi kwamba hata wauza vyuma chakavu walikwisha iba ngozo za chuma...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
0782242526 .sizan kama hii namb itadumu,itakukua kama ya kikwete alivyoingia 2005.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kama mnavyojua Matungucha, Kimara ilikuwa ni sehemu muafaka ya wapenda maendeleo kukutana jioni na kubadilishana mawili matatu kuhusu changamoto za siku. Sasa huu mchakato wa kujenga miundombinu...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari zilizonifikia hivi punde ni kuwa Jemedali kaptani The great LOWASSA amesusia mkutano wa ccm utakaofanyika kesho jagwani Je hii inaashilia nini kwa wana ccm wenzangu? Kwanini mzee huyu...
2 Reactions
29 Replies
3K Views
Back
Top Bottom