Viwanja 250, maombi 700, kila ombi elfu 20 manispaa ya kinondoni kunani?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Viwanja 250, maombi 700, kila ombi elfu 20 manispaa ya kinondoni kunani??

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by stroke, Jun 8, 2012.

 1. stroke

  stroke JF-Expert Member

  #1
  Jun 8, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 13,357
  Likes Received: 6,539
  Trophy Points: 280
  Viwanja 250, maombi 700, kila ombi elfu 20, kinondoni kunani??
   
 2. v

  vngenge JF-Expert Member

  #2
  Jun 8, 2012
  Joined: Apr 19, 2011
  Messages: 366
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  Kweli hawa jamaa wazushi walishatufanyia hivi ilala, tukato 20000 mpaka leo Zzzzzzzzzzzzzz!
   
 3. Zamaulid

  Zamaulid JF-Expert Member

  #3
  Jun 8, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 16,332
  Likes Received: 6,673
  Trophy Points: 280
  ha ha ha ha!!unahisi kutapeliwa!usiogope utapata!
   
 4. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #4
  Jun 8, 2012
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,004
  Likes Received: 3,189
  Trophy Points: 280
  Hayo maombi isije ikawa unatuma kwa njia ya posta ili tununue stemp.
   
 5. f

  fikirikwanza JF-Expert Member

  #5
  Jun 8, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 5,935
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  ARDHI YETU NCHI YETU, mbona viwanja ni vyenu???
   
 6. stroke

  stroke JF-Expert Member

  #6
  Jun 8, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 13,357
  Likes Received: 6,539
  Trophy Points: 280
  sasa kama viwanja vipo 250 kwanini wagawe fomu kwa watu 700, halafu wanawaacha wote walipie??
   
 7. REMSA

  REMSA JF-Expert Member

  #7
  Jun 8, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 2,569
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
   
 8. ndenga

  ndenga JF-Expert Member

  #8
  Jun 8, 2012
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 1,695
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  Hii ilishakuwa formal way ya kupata mapato kwa Wizara na Halmashauri zetu. Nakumbuka mwaka 2008 Wizara ya Ardhi walitangaza viwanja vya Magwepande na ilikuwa formu 5,000/= tukalipia Wizarani. Lakini baadaye wakasema wamehamishia zoezi lile walihamishia halmashauri (bila kuhamisha na pesa zetu tulizolipia) kwa maana kwenye halmashauri tukalipia tena upya na mpaka leo kimya!! So you guys watch out.
   
 9. ndenga

  ndenga JF-Expert Member

  #9
  Jun 8, 2012
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 1,695
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  Ilala viwanja 600 formu zilizouzwa 10,000 na mpaka leo hamna kiwanja!!! Mradi pekee uliokuwa angalao ni ule wa Kigamboni
   
 10. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #10
  Jun 8, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,867
  Likes Received: 6,219
  Trophy Points: 280
  hivi viwanja ni biashara ya h/w tu.......
  Hata awamu ya pili ya viwanja vya gezaulole nao itakuwa mauza uza......

  Heri nikanunue kipande huko uswekeni, ukija mradi utanikuta....
   
 11. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #11
  Jun 8, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,306
  Likes Received: 5,596
  Trophy Points: 280
  Manispaa wameshagundua pesa za bure toka kwa general public bila auditors kuwabana baadae zile form wana durufu tu nyingi za kutosha tena hazina number!!700x20,000= 14,000,000 za bure kabisa
   
 12. M

  Mauu Member

  #12
  Jun 8, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 48
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hapo bado bei ya kiwanja kwa squaremeter, huchelewi kuambiwa sh. 20,000/= per sq.
   
 13. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #13
  Jun 8, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  sio kila wanoomba huwa wanalipia, sioni tatizo.... 20K ni expression ya interest token na watakaoteuliwa wanalipia within a timeline wakishindwa basi wale wanaofuatia kwenye list wanapewa nafasi

  it is a good system
   
 14. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #14
  Jun 8, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,867
  Likes Received: 6,219
  Trophy Points: 280
  ushawahi ona au kusikia walioko kwenye list wakipewa?
   
 15. Comi

  Comi JF-Expert Member

  #15
  Jun 8, 2012
  Joined: Oct 2, 2011
  Messages: 3,347
  Likes Received: 478
  Trophy Points: 180
  kaka umenitonyesha kidonda huku a town halmashauri iliwahi kufanya hivyo cha ajabu viwanja vilikuwa 100 na waliopanda ni viongozi tupu
   
Loading...