Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

- Mkutano umetawaliwa na mipasho badala ya kueleza maudhui ya mkutano kama walivyotangaza. - Kina mama wakiongozwa na H. Kopa wanaonekana ndio washangiliaji wakubwa na wengi wao wanaonekana...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Yan hawa jamaa ni wez asee customer care tu unapiga wanakata zaid ya elfu moja hata dakika haiishi; izo vocha zao mwezi hazimalizi wanakata ovyo; cjui hii kampun ilisajiliwa na nan
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Ni habari za kusikitisha sana kwamba serikalini bado kuna watu wenye vichwa ngumu na ambao hawajifunzi kutokana na makosa! Kwa kifupi ni kwamba zile kamati za serikali za kushuhgulikia madai ya...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Fursa aliyoipewa na watanzania ya kuwa rais wa taifa Ndugu Ben imempa heshima kubwa na kwa mila za kiafrika yeye ni kama “baba” kwa watanzania wote. Anayo haki ya kuheshimiwa na watanzania wana...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Kuna siri nzito sana hapa MICHUZI: TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI: TSN HAIJAMTELEKEZA ATHUMANI HAMISI
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Sauti ya milio ya mabomu ya machozi ndiyo zinazosikika leo eneo lote la kigogo. Mabomu hayo yanafyatuli na polisi wa kuzuia ghasia yaana ffu yanalenga kuwatawanya watoto wa shule ya msingi kigogo(...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Shoes designed by Kanye West are being sold for tens of thousands of dollars BANG Showbiz | Thursday, June 07, 2012 (Los Angeles) A pair of trainers...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Kuvunja makanisa si kuvunja Muungano Ahmed Rajab 6 Jun 2012 UKILALA unaamka. Kama huamki na bado una uhai basi unaamshwa. Jumuiya ya Uamsho na...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Haya wakuu ktk magazeti ya leo,inaonekana kuenguliwa kwa mzee Chizi ni fitina ya baadhi ya wakuu baada ya Mh huyo wa ATCL kuminya mianya yote ya kula pesa iliyokuwa ikifanywa na baadhi ya wakuu...
1 Reactions
45 Replies
5K Views
KESHO CCM JANGWANI KUWAONYESHA WATAALAM WA... Cyprian Majura Musiba posted in FIKRA PEVU Cyprian Majura Musiba 12:23pm Jun 8 KESHO CCM JANGWANI KUWAONYESHA WATAALAM WA KUPOTOSHA...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
DIRA Umoja wa vilabu nchini, utpc, umeingia katika kashfa kubwa ambapo rais wake keneth simbaye, mkurugenzi wake abubakar kasan na bodi nzima wanatuhumiwa kufuja fedha za umoja huo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Live video: US President Barack Obama holds a press conference in the White House briefing room. Discussing about Economy.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Nduguzanguni wanaJF, Nimeteuliwa kuwa mmojawapo wa waandaaji wa mabango ya kuyabeba kwenye maandamano ya Chama chetu hapo kesho. Naombeni ushauri wa maneno ya kuyaandika kwenye mabango ya...
0 Reactions
37 Replies
3K Views
jana ilikuwa clouds fm leo east africa, ts ol abt freemason. kama unatym just listen east africa radio just nw.
0 Reactions
25 Replies
5K Views
Nilikua natengeneza mtandao utakaotumika bure na wananchi, ila step ya mwisho nilapata ujumbe huu Searching...100% Loading...0% Network Failed ! Your IP is detected from Tanzania which is an...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nawashukuru sana wanajf wa DSM nimekaa salama kwa kipindi chote nilichokuepo huku. Sijatoka na totos yeyote lakini nimekuwa impressed na totos wengi sana wapo big in posteriors ambazo kwa kweli...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Read about the incredible event that happened in Brazil. The doctors can not give a scientific explanation. The 2-years old boy stood by the coffin asked for water and then fell back lifeless...
0 Reactions
23 Replies
5K Views
Nchi yetu Tanzania ni ya ngapi kwa msimamo wa Nchi tajiri Africa jamani? Ningependa nijue msimamo huu unawekwa kwa muda gani baada ya kutolewa na jarida lengwa. Na ninakumbuka tulikuwa karibia...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naomba mtu yeyote mwenye namba ya simu ya waziri wa mambo ya ndani Mh. Dr. Emmanuel Nchimbi ani-PM please! Namba yake binafsi, siyo namba ya ofisi. Samahanini sana wanajf wenzangu kwa kuwasumbua...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nape kama kiongozi wa juu wa ccm amekuwa akitoa kauli za ajabu sana, huyu kijana nashindwa kuelewa ni vipi alipewa hiyo post, kwa kiongozi wa juu kabisa wa chama hapaswi kutoa kauli za ovyo kama...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom