Mengi anatisha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mengi anatisha

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Bangoo, Jun 7, 2012.

 1. B

  Bangoo JF-Expert Member

  #1
  Jun 7, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 5,600
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Ni Doctor Reginald Mengi yule mmiliki wa makampuni ya Ipp media ameamua kuwajali wafanyakazi wake wote kwa kujali maslahi yao. Ni kwamba sisi wafanyakazi wa kawaida ametupandishia mshahara. Kima cha chini ni Tsh 450,000/=, TUNAMSHUKURU SANA, kwa upendo wake kwa wafanyakazi wake. Tunamuombea baraka tele,

  Serikali iige iache kukandamiza wafanyakazi kwa kuwapa kima cha chini 120,000/=.
   
 2. k

  kiparah JF-Expert Member

  #2
  Jun 7, 2012
  Joined: Sep 7, 2010
  Messages: 1,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Tangu lini?
   
 3. Communist

  Communist JF-Expert Member

  #3
  Jun 7, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 5,392
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Lakini ajetangaza ule mkutano wa Jumamosi, mpaka wamlipe.
   
 4. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #4
  Jun 7, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Ganja bwana noma
   
 5. Marire

  Marire JF-Expert Member

  #5
  Jun 7, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 11,390
  Likes Received: 199
  Trophy Points: 160
  Kwa wafanyakazi wa serekali mgekuwa na umoja ingewezekana ,mkiitisha maandamano mgaya akiitwa ikulu basi mnasitisha mgomo
   
 6. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #6
  Jun 7, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,007
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 160
  Hongereni wakubwa endelezeni familia zenu na sio kujenga jina bar
   
 7. Uzazi wa Mpango

  Uzazi wa Mpango Member

  #7
  Jun 7, 2012
  Joined: Apr 4, 2012
  Messages: 47
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 15
  Ganja za chooni kweli noma
   
 8. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #8
  Jun 7, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 11,657
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280
  Tokea madaktari wameitwa Ikulu hawajatuambia Outcome ya ule Mkutano lakini kwenye kudai posho wanatushirikisha kwa maana nyingine wanaongezewa posho vinara wa mgomo wengine wanapigwa chini
   
 9. B

  Bangoo JF-Expert Member

  #9
  Jun 7, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 5,600
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Tumuunge mkono ameonyesha mfano. Wengine waige waache kuwaumiza wa Tanzania. Huyu ni mzawa ameonyesha njia tumpongeze
   
 10. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #10
  Jun 7, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  nilimsikia na kumuona ITV,siku chache zilizopita
   
 11. leroy

  leroy JF-Expert Member

  #11
  Jun 7, 2012
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 773
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Hiki si kima cha chini cha serikali, no research no right to speak.
   
 12. stroke

  stroke JF-Expert Member

  #12
  Jun 7, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 10,771
  Likes Received: 4,003
  Trophy Points: 280
  safi sana , hiii inaonesha kuwa anazeeka na anataka mumkumbuke kwa mema yake hapa duniani..ila i doubt utekelezaji wake.its too much money..
   
 13. sumasuma

  sumasuma JF-Expert Member

  #13
  Jun 7, 2012
  Joined: Jun 23, 2011
  Messages: 329
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kumbe Mengi anatisha ,ipp inawapita hata wafanyakazi wa Barrick ,noma wafanyakazi barrick kima cha chini ni. TSH 350,000/= , wageni yaani wafanyakazi wazungu wanalipya kima cha chini USD .10,000/= .AIBU tupu. wabongo wanakufa na sumu za migodini. wazungu wanakula kiyoyozi tu.!!!! poa lakin hamna noma ....CCM hiyo!!! lakin mwisho upo!!!!
   
 14. ndenga

  ndenga JF-Expert Member

  #14
  Jun 7, 2012
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 1,634
  Likes Received: 243
  Trophy Points: 160
  Ngoja tusubirie budget,,inawezakana kima cha chini kikawa 300,000 kwa serikali
   
 15. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #15
  Jun 7, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 40,992
  Likes Received: 8,437
  Trophy Points: 280
  Serikali itapandisha hadi 350000 kwa mwezi.
   
 16. LexAid

  LexAid JF-Expert Member

  #16
  Jun 7, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 1,950
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Ndoto!

   
 17. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #17
  Jun 7, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 12,283
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  Wale wahindi wa pugu road nao wafuatie
   
 18. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #18
  Jun 7, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,165
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Weka jina lako halisi bana!
   
 19. chuki

  chuki JF-Expert Member

  #19
  Jun 7, 2012
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,691
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Kuna tetesi kuwa anasubilia katiba Mpya itoe fursa ya Mgombea binafsi ili jamaa atie nia.
   
 20. Nyalotsi

  Nyalotsi JF-Expert Member

  #20
  Jun 7, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 4,918
  Likes Received: 314
  Trophy Points: 180
  subiri jmosi utapata mrejesho. Sio kila hatua ya kikao unatakiwa uifahamu. Kuna mambo mengine huhusiki, unayohusika taarifa utapewa ili uchukue hatua.
   
Loading...