Rufaa ya lema lini?mwenye taarifa atujuze tafadhali

massai

JF-Expert Member
May 2, 2011
653
137
tafadhali kwa anaejua itasikilizwa lini atujuze,na vipi kuhusu majaji wanaorudia hiyo kesi huwa wanapatikana vipi,yaani ni utaratibu gani huwa unatumika kuwateua?kwa harakaharaka ukiangalia hii kesi utaona ina husu jumba kuu moja kwa moja ndio maana nauliza huo mchakato wakuwapata majaji huwa unakua vipi.naombeni ufafanuzi tafadhali
 
Back
Top Bottom