Visa ya Singapore

TzPride

JF-Expert Member
Nov 2, 2006
2,616
1,167
Waheshimiwa,

Natarajia kusafiri kwenda Singapore hapo karibuni, naomba mtu ambaye ajaua taratibu za kupata visa ya kwenda huko maana hawana ubalozi hapa bongo.

Nitashukuru kupata ushauri huo.

Wenu,
TzPride.
 
Kama una passport Tanzania Malaysia na Singpore huhitaji visa Mkuu,kata tiketi yako upae!
 
Nashukuru wakubwa kwa michango yenu.
Keep it up!
 
Chanjo?
Kwani inatakiwa upigwe chanjo?na ni chanjo ya nini?na wapi chanjo hiyo inatolewa?[/QUOTE

Chanjo (Vaccination) hii inatolewa katika kliniki ya Mnazi mmoja, Jumanne na Ijumaa, unapigwa sindano bega la kushoto na unapewa kajitabu ka rangi ya njano. Na chanjo hii inadumu kwa muda wa miaka 10. Kaka hii kitu usipokuwa nayo unarudisshwa Airport hasa kwa nchi za Far Asia ni muhimu mno kwako. Zingati hilo tafadhari.
 
Alternatively ukiongea vizuri na washkaji wa pale airport wanakupatia Vaccination card bila tatizo. shilling 25,000 tuu. okoa muda wako.
 
vipi air ticket ya singapore how much?return ticket?

Return tiketi si zaidi ya dola 1300 (Sina uhakika sana kwa hapa, maana kwangu it was back 2005), lakini nenda pale Haidery Plaza, kuna mawakala wa ndege za Singapore wako poa siyo wababaisha.
 
Kadi ya chanjo nina ya 2003 nadhani bado haija-expire

nashukuru sana wakuu, nimepata maelekezo ya kutosha sasa.
 
Nadhani wakuu kadi mnazozungumzia hapa ni zile za yellow fever kama sikosei,coz tuko katika zone ya huu ugonjwa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom