Nakwenda Dar kuchukua T-shirt za M4C

kuku dume

JF-Expert Member
Apr 22, 2012
414
62
Lazima niifikisha hamasa ya vuguvugu la mabadiliko Songea ingawa bado makamanda hawajaja japo naimani watakuja soon!
 
Mkuu, huna haja ya kwenda Dar. Tafuteni t-shirt, tafuteni watu wanao print, tengenezeni wenyewe. Huku Arusha, t-shirt, kofia, skafu zenye maneno na kauli mbalimbali, zinatembezwa na zinauzwa na wamachinga. Hazijatoka Dar wala ofisi yoyote ya cdm. Vijana wamebuni ajira na wanapata mkate wa kila siku!
 
Tena kama kuna mtu kwa sasa anataka utajiri wa halali ni kuprint t-shirt za M4c na kuziuza,
ni bonge la mradi.
 
Back
Top Bottom