Nimeamua kujitangaza ya kuwa mimi ni Freemason | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nimeamua kujitangaza ya kuwa mimi ni Freemason

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mboghambi, Jun 8, 2012.

 1. m

  mboghambi Member

  #1
  Jun 8, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nashangaa kila siku wanajitangaza wao mimi leo nimeamua kujitanganza ya kuwa mimi ni freemason
   
 2. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #2
  Jun 8, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,224
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  Sawa, umejitangaza kwa kuwa wewe siyo.
   
 3. jamiif

  jamiif JF-Expert Member

  #3
  Jun 8, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 2,417
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  so what? acha kuleta hoja zisizokuwa na kichwa wala miguu..
   
 4. mathematics

  mathematics JF-Expert Member

  #4
  Jun 8, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 3,287
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  na wewe umeamua tu kuanzisha thread na wewe uonekane umenzisha thread?

  Utajiju na u-freemasons wako
   
 5. jamiif

  jamiif JF-Expert Member

  #5
  Jun 8, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 2,417
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  umaona ee!
   
 6. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #6
  Jun 8, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,070
  Likes Received: 6,533
  Trophy Points: 280
  Mkuu leta habari za huko,
  kuna siku tutakutanaga huko huko,
  kama vipi ni pm.
   
 7. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #7
  Jun 8, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160


  Kwa hiyo unatakaje? Unataka tukuogope? Ama unaona kama ni umaarufu kuwa freemason?
  Ninachoweza kukuambia ni moja tu!
  Mgeukie Bwana MUNGU wako na atakuponya!
   
 8. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #8
  Jun 8, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160

  Nakuonea huruma dogo!
   
 9. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #9
  Jun 8, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Mafreemason wanajua siku ya kufa. na we utakufa lini?
   
 10. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #10
  Jun 8, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Kwa hiyo sisi tufanye nini??
   
 11. Mu-sir

  Mu-sir JF-Expert Member

  #11
  Jun 8, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 3,633
  Likes Received: 471
  Trophy Points: 180
  kwa hiyo....? You are simple minded.
   
 12. mapanga3

  mapanga3 JF-Expert Member

  #12
  Jun 8, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 659
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 180
  utakufa ghafla kama wenzio wanavyokufa
   
 13. KALYOVATIPI

  KALYOVATIPI JF-Expert Member

  #13
  Jun 8, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,419
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  Unajamba maputo hatujui unahitaji nn
   
 14. iron2012

  iron2012 JF-Expert Member

  #14
  Jun 8, 2012
  Joined: Feb 16, 2012
  Messages: 358
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  hongera kwa kuamua kuwa freemason je inamchango gani kwa jf
   
 15. awp

  awp JF-Expert Member

  #15
  Jun 8, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 1,714
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  hiyo sio issue tangaza kingine tukusifie
   
 16. Abunwasi

  Abunwasi JF-Expert Member

  #16
  Jun 8, 2012
  Joined: Jun 25, 2009
  Messages: 3,166
  Likes Received: 1,061
  Trophy Points: 280
  So what????
   
 17. M

  Mrdash1 JF-Expert Member

  #17
  Jun 8, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,379
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Habari ya freemanson imepanda chati sana hapa bongo siku za hivi karibuni, kwa wale wenye kutafakari tujiulizeni nini chimbuko lake kwa maana hii freemanson kama ipo basi haikuanza miaka ya hivi karibuni, ipo zaidi ya karne moja iliyopita, sasa iweje leo hii iwe ishu kuuuubwa hapa bongo???? Piga darubini utagundua kuwa hii ishu inasambaa sambamba na propaganda za mihadhara, redio imani, kupinga miungano na kuchoma makanisa lengo kuu ni kuonyesha kuwa ukristo si chochote si lolote ni mafreemanson tu!! Waasisi wakubwa wa hii propaganda ni wairani katika juhudi zao za kueneza dini na imani zao. My person advise hasa kwa wakristo tujihadhari sana kabla ya kuhukumu, maandiko yanatuambia kuwa shetani is "the accuser of the brethren" inaelezewa kwenye ufunuo kuwa shetani anawashutumu watakatifu bila kukoma mchana na usiku. "He accuses them without resting day and night" Tuwe waangalifu vingenevyo unaweza kujikuta uko upande wa shetani ukiwalaani watumishi wa Mungu, Ni kweli ndani ya zizi la kondoo pia wamo mbwa mwitu waliojivika ngozi ya kondoo, kwa matendo yao tutawatambua
   
 18. Elisha Ray

  Elisha Ray JF-Expert Member

  #18
  Jun 8, 2012
  Joined: Mar 19, 2012
  Messages: 302
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Amen to that mkuu!!
   
 19. g

  gwacha Member

  #19
  Jun 8, 2012
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 38
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama ni mawazo yako mwenyewe,we endelea kivyako mie bado saanaaa,,
   
 20. EBENEZA MT

  EBENEZA MT JF-Expert Member

  #20
  Jun 8, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 264
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Asante sana Mrdash1 siku hizi ukifanikiwa kidogo tu wanasema wewe ni freemason.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...