Mbali na haya, Je, ungependa REDET iamke na kukusanya maoni ya wananchi kuhusu nini?

Mzalendowetu

Member
May 22, 2012
87
34
REDET imekuwa ikikusanya kura za maoni (opinion polls) kuhusu masuala mbalimbali ya kitaifa. Kwa muda mrefu sasa, REDET hawajafanya utafiti. Tunaomba sasa REDET iamke na kukusanya maoni ya wananchi hususan kuhusu masuala ya uchaguzi wa 2015.

Kama ilivyokuwa katika tafiti zilizopita, tunaomba maswali yafuatayo yapewe kipaumbele:

1.
Mwaka 2015 utafanyika uchaguzi mkuu, endapo uchaguzi huo ungefanyika leo, je wewe ungemchagua mgombea urais wa chama gani?

2.
Taja jina la mtu mmoja ambaye ungependa awe rais wa Tanzania.

3. Taja sifa moja kubwa ambayo itakufanya umpigie kura mgombea fulani wa Urais.

4. Je, wewe ungependa kumchagua mbunge wako aliyopo hivi sasa au la?

5.
Taja tatizo moja kubwa ambalo ungependa serikali itakayoingia madarakani ilipe kipaumbele.

6. Toa tathmini yako kuhusu utendaji kazi wa chama tawala, CCM, na vyama vya upinzani kwa ujumla wake
 
7. Je, unaamini kuwa redet tunatoa maoni huru au tunaipendele ccm na sreikali yake?

Wakikusanya maoni juu ya hilo itakuwa powa sana.
 
REDET is unreliable non-research organisation with political motive. Anything comes out of REDET will have 0% of credibility. I think the best way for them to stay mum forever.
 
1. ukipanda mahindi yanaota na rangi gani?

2. ukipanda mgomba unaota na rangi gani?

3. ukipanda mchicha unaota na rangi gani?

4. miti yote ina rangi gani?

5. bendera ya cccm ina rangi gani?

6. cdm ni chama cha ukanda?

7. cdm kinasaidiwa na cdu?

8. viongozi wa cdm wanapora wake za watu?

9. kuna mbunge wa cdm anayeishi nje ya nchi?

10. je mbunge anayeishi nje ya nchi anafaa?

11. cdm kinakwepa kulipa kodi?

12. watanzania wanapenda udini?

13. chama gani kilileta uhuru?

14. ni haki kuwatukana wazee waliotuletea uhuru?

15. manati yanaweza kuu nyoka?

16. jembe linaweza kuua nyoka?

17. ukipewa jembe na manati unachagua nini?

18. manati na misumali vinaweza kutengeneza kitanda?

19. nyundo na misumali vinaweza kutengeneza kitanda?
 
kwa namna ccm ilivyoshikwa pabaya REDET haiwezi kuamka kabisa, na zile taarifa zake za kupanga na Magamba. kila kitu ni Dhahili REDET hawawezi kuitawaza CHADEMA,
 
Back
Top Bottom