Cv ya Nape Nauye | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Cv ya Nape Nauye

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by DOMA, Jun 8, 2012.

 1. D

  DOMA JF-Expert Member

  #1
  Jun 8, 2012
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 946
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 45
  Wakuu yeyote mwenye cv ya Nape atupie hapa au yeye mwenyewe aweke hapa maana nina wasiwasi na uwezo wake wa kufikili kutokana na kauli anazotoa
   
 2. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #2
  Jun 8, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Ya nini? tuwekee cv yako kwanza tuone kama unaweza kuzisoma hizo cv za watu.
   
 3. P

  Ptz JF-Expert Member

  #3
  Jun 8, 2012
  Joined: Aug 23, 2011
  Messages: 466
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 60
  "ccm haijakataa kujadili muungano, huo ni uongo wa mchana kweupeee... ilaaa tumesemaaa muungano usiongelewe uwepo au kutokuwepo kwake..." (Nape: Makambaku 7 June,2012) naunga mkono mwenye cv ya Nape aitoe hapa jamvini.
   
 4. Mkereketwa_Huyu

  Mkereketwa_Huyu JF-Expert Member

  #4
  Jun 8, 2012
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 5,115
  Likes Received: 1,206
  Trophy Points: 280
  Kwani Nnape amesoma?
   
 5. Mwanawalwa

  Mwanawalwa JF-Expert Member

  #5
  Jun 8, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 1,015
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Nape si alisoma Azania sekondari afu akaenda kusoma Magogoni , sidhani kama relay neurones zake za kichwani zina function effectively his head needs to be examined kiukweli kabsaaa
   
 6. Kyaiyembe

  Kyaiyembe JF-Expert Member

  #6
  Jun 8, 2012
  Joined: Dec 1, 2011
  Messages: 1,569
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Tafuta ya Lusinde kutoka kwenye Profile ya Bunge zitakuwa zinafanana!.
   
 7. Mohamedi Mtoi

  Mohamedi Mtoi R I P

  #7
  Jun 8, 2012
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 3,326
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 0
  Mkuu Ptz hii ni kali sana nisingekuwa natumia simu ningekugongea like za kutosha
  "ccm haijakataa kujadili
  muungano, huo ni uongo
  wa mchana kweupeee...
  ilaaa tumesemaaa
  muungano usiongelewe
  uwepo au kutokuwepo
  kwake..." (Nape:
  Makambaku 7 June,2012)
   
 8. M

  Mmwaminifu JF-Expert Member

  #8
  Jun 8, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 1,096
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Kweli mkuu ngoja nimtafute Invisible watufanyie mpango wa like button kwenye mobile version ya jf
   
 9. Mkereketwa_Huyu

  Mkereketwa_Huyu JF-Expert Member

  #9
  Jun 8, 2012
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 5,115
  Likes Received: 1,206
  Trophy Points: 280
  "ccm haijakataa kujadili muungano, huo ni uongo wa mchana kweupeee...ilaaa tumesemaaa muungano usiongelewe uwepo au kutokuwepo kwake..." (Nape:Makambaku 7 June,2012)  Sasa haya kaongea mkuu wa itikadi ya CCM, hivi CCM inategemea nini haswa kunako 2015? Wamemweka mtu asiye na maadili kichwani katika idara nyeti. Kutokana na akili zake Nnape nafikiri hiki cheo ni kikubwa shinda upeo wa akili zake. Tutafakari kidogo; mtu kama huyu aje kuwa waziri wa ulinzi hapa Tanzania tutakuwa wapi? Si atakuwa anatafuta vita na majirani kila kukicha, maana sidhani kama anakumbuka anachokiongea leo au kesho.
   
 10. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #10
  Jun 8, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,787
  Likes Received: 36,795
  Trophy Points: 280
  Hebu punguza jazba wewe green guard.


  Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
   
 11. Mkereketwa_Huyu

  Mkereketwa_Huyu JF-Expert Member

  #11
  Jun 8, 2012
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 5,115
  Likes Received: 1,206
  Trophy Points: 280

  Nnape wacha hasira kijana. Mwenzako kauliza hivyo kwani yeye pamoja nasi (asilimia 99.9 ya watanzania) hatuna imani na elimu yako. Jaribu kufikiri kidogo usiwe na jazba kwani haya yote umejitakia mwenyewe kutokana na uvuvuzela wako wa kupiga kelele bila kufikiri.
   
 12. BUBE

  BUBE JF-Expert Member

  #12
  Jun 8, 2012
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 844
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Sasa ana maana gani? Kujadili....ndo kutaleta hitimisho (conclusion) kama iwepo au la. Na suala la kuwepo au la lazima litokana na mjadala na watu pande zote wapime merits (previous, current and potential) then (watu na wala si ccm) watoe hitimisho.
   
 13. Scofied

  Scofied JF-Expert Member

  #13
  Jun 8, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 2,017
  Likes Received: 197
  Trophy Points: 160
  huyo jamaa ni kichwa cha panzi sana...nafikiri cream anazotumia zimeathiri ubongo wake..
   
 14. mathematics

  mathematics JF-Expert Member

  #14
  Jun 8, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 3,287
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  nimesoma comment zako nyingi always huwa peke yako, wenzako wanakwenda kulia wewe huwa una kwenda shoto iwe kwa zuri au baya, u must have a problem!

   
 15. Abunwasi

  Abunwasi JF-Expert Member

  #15
  Jun 8, 2012
  Joined: Jun 25, 2009
  Messages: 3,166
  Likes Received: 1,061
  Trophy Points: 280
  May be they needed a nitwit with such neurons to carry out a job that no sane person could
  Who knows,,,,
   
 16. g

  gwacha Member

  #16
  Jun 8, 2012
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 38
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ki ukweli kama unataka kumjua mwanzako lazima ujitambulishe wee kwanza.nina hofu na uwezo wa ubongo wako wewe mwenye mada na ndio maana hata mimi nahitaji cv yako kwanza ili nikupe ya Nnape.
   
 17. Mpangamji

  Mpangamji JF-Expert Member

  #17
  Jun 8, 2012
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 536
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  si mtoto wa Nauye!!
   
 18. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #18
  Jun 8, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Mijitu inayokimbilia CV naitamani ni ilambe embu leta hoja siyo mi cv.Watu hawajaenda shule lakini wanaongoza fresh kabisa wewe wa wapi bwana alaa ebooo
   
 19. K

  Kipimbwe JF-Expert Member

  #19
  Jun 8, 2012
  Joined: Jul 27, 2011
  Messages: 371
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Haya bana basi tuseme amesoma sana ni Prof wa CCM ili Mzinga na mwenzio msiki raha.Wacha kipofu amuongeze kipofu mwenzie
   
 20. King2

  King2 JF-Expert Member

  #20
  Jun 8, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 1,289
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Kilaza tu.
   
Loading...