Harambee ya Lowassa yazoa milioni 400
Thursday, 07 June 2012 19:46
James Magai
WAZIRI Mkuu aliyejiuzulu wadhifa huo Edward Lowassa amechangisha kiasi cha Sh.400milioni kutoka kwa...
Mwanasheria Mkuu wa Serikali Othman Masoud Othman
[Mada imetayarishwa na Kuwasilishwa Katika Mkutano Maalum ulioandaliwa na Zanzibar Law Society Kuadhimisha Miaka 41 ya Muungano. Hoteli ya...
Jamani,kuna tatizo lipo katika televisheni ya Taifa takribani wiki mbili,tatizo la kutoonyesha matangazo yao vizuri(kuonyesha chenga chenga flani) je,mafundi mitambo wao hawajaliona ili?
Henzi zao haya yalikuwa mwiko rushwa,unyonyaji,kuchanganya biashara na uongozi,kujilimbikizia mali,walisisitiza umoja wa nchi na chama,walipinga ukabila,UDINI,ukanda, ukupe,kutoa nje siri za nchi...
Bwana Nape Nnauye anasema eti wanaohamia upinzani hawawapi pressure kwa kauli kwamba hakuna chama cha upinzani kilichoanza bila wanachama kutoka CCM na kinyago wachonge wenyewe halafu kiwatishe...
nasikitika kwamba wafanyakazi hapa nchini tunakamuliwa kwelikweli na kodi (PAYE) na wakati huo huo kuna wasanii kibao wanaingiza mapato na hawatozwi kodi hata centi moja zaidi ya kujirusha kila...
kuna watu last 6 washaliwa mjini hapa. unamit bad mtu facebook mnapeana number Mnachart then siku ya kumit anakuambia njoo bad laptop. anakula mzigo aka ngabude then usiku umelala anasepa na kila...
WanaJF
Judgement na conclusion iliyotolewa jana tarehe 6/6/2012, saa 11:45 na mchambuzi mmoja wapo wa kituo cha REDIO CLOUDS kwenye kipindi cha JAHAZI ilionyesha Dr Mwakyembe kafanya maamuzi ya...
Leo kwenye hangaika zangu za kutwa nzima nikaamua nirudi nyumbani.
Mama watoto hakutaka nitoke hivyo basi akaniambia mechi ya Brazil Vs Mexico niiangalizie nyumbani.
Nikakaa nyumbani nikiangalia...
CNN imetoa majina ya waandishi wa habari kwa ajili ya CNN Multichoice African Journalist 2012 Finalists. Ukicheki majina hakuna hata Mtanzania mmoja. Wakenya na Waganda wapo wa kumwaga. Pasco vipi...
Habari zilizonifikia kutoka India akilikokuwa amepelekwa kwa matibabu zaidi zinasema Daktari huyu wa pale Ocean Road na mmiliki wa Samaritan Dispensary ameaga dunia leo mchana huko India. R.I.P...
Nilikuwa maeneo ya Posta, likaja daladala Mwng~Posta, naul buku. Usiku huu npo Kariakoo, kwenda Ubungo naul buku buku hv Sumatra mpo wap usiku. Au ndo mshatola kazin?
duu, hili gazeti sikufanikiwa kuliona lakini leo nimelibamba, kweli waandishi wa habari bongo kazi bado tunayo...!!
hivi MA'MAKE maana yake ni nini jamani!! au mimi naelewa vibaya!!
MSAADA KWA SADOCK MGHAMBA
Ndugu wapendwa
tunatafuta ndugu wa Sadock Mgamba ambae anaumwa sana huko Dodoma. Wote tunaomfahamu Sadock tunajuana kama rafiki yetu wa karibu, lakini kwa bahati mbaya...
Anazungumzia changamoto mbalimbali jimboni na nchini kwa ujumla
na namna ya kupambana nazo.
Kaanza na mapato na masuala ya ardhi katika Halmashauri
Source Clouds FM
Kipindi Jahazi
Thomas Kashililah na ufisadi wa kutisha bunge
Kwa waliosoma ripoti ya mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za Serikali (CAG) Ludovick Utouh, naomba wanisaidie katika hili.
Nimewahi kulisoma katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.