Kesho tunawapima tbc | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kesho tunawapima tbc

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Head teacher, Jun 8, 2012.

 1. Head teacher

  Head teacher JF-Expert Member

  #1
  Jun 8, 2012
  Joined: Mar 10, 2012
  Messages: 1,811
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Je watarusha matangazo ya nyinyiem, au hawatarusha. Ikumbukwe tbc ni tv ya taifa, kwa hiyo maamuzi ya kurusha ccm kutoka cdm-sqr yataacha maswali kwa nini hawakurusha ya cdm.
   
 2. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #2
  Jun 8, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,627
  Likes Received: 9,838
  Trophy Points: 280
  wasirushe kiwanukie??

  lazima warushe kutetea kakitumbua kao kasiingie mchanga...

  si unajua tena baba mwenyekiti yule handsome wa pale magogoni ndo kashika mpini banaa
   
Loading...