Natangaza nia kuomba ridhaa kwa wananchi ya urais kama mgombea binafsi

JF-MBUNGE

JF-Expert Member
May 1, 2012
421
160
Jamani nilipambana magamba kupinga matumizi mabaya ya raslimali za nchi hii sikusikilizwa.,...nikaamia magwanda nikisisitiza msimamo uwe katiba ivunjwe mwaka huu maana nhi inaangamia naambiwa eti nisubiri hadi 2014 sijui. Ninaumia sana nina sikitika sana najuta nitamwambiaje mjukuu wa mjunguu wangu mbele za mungu. Hivyo nimeamua kutoka magwanda rasm na kusaidia nchii hii.

Nakaribisha wanachama ila umoja wetu hauna chama...lengo kubwa kwanza niikomboa nchi yetu cham tutaunda baadae baada ya ukombozi.

Anayetaka kujiunga tuma vika kanisa lolote na msikiti ujitambulishe. Utachukuliwa contacts zako na kutafutwa baaadae baada ya taratibu zote kukamilika.

karibu ndugu vyama hivi vya siasa sio wakombozi wetu tutajikomboa wenyewe.
 
Kwa ambao hamuendi msikitini au makanisani tukutane mnakaribiswa nyumbani kwa kiongozi mzalendo J.K.Nyerere, gharama zote mtarudishiwa....tena nyie ndio mtakua mmepunguziwa usumbufu maana lengo baada ya kupata idadi ya watu zaidi ya 10 ilikua nikwenda kumsalimu kwenye kaburu mzalendo baba wa taifa atuombee baraka zake kwa mungu.
 
Kuna vitu viwili viko mbele yako, aidha umewahi mno au umechelewa sana. Wa ukoo wako wanaweza kukuunga mkono, mimi na wa nyumbani kwangu HAPANA !!
 
kuna vitu viwili viko mbele yako, aidha umewahi mno au umechelewa sana. Wa ukoo wako wanaweza kukuunga mkono, mimi na wa nyumbani kwangu hapana !!

wewe hata sina haja ya kukujibu kwa hoja maana maneno yako yanaonesha dhari ndio mtafunaji wa mali za umma mnaowapa shida wananchi wengi nchi hii
 
Back
Top Bottom