Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mimi Mhanga wa Muungano niwende wapi? Mama Mpemba Baba Msukuma

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Nazjaz, Jun 8, 2012.

 1. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #1
  Jun 8, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 4,760
  Likes Received: 360
  Trophy Points: 180
  Jamani, mnapojadili swala la kuvunjika kwa muungano kaeni fika mkijua kuwa wengi tutaathirika.
  Baba yangu ni Msukuma na mama yangu Mpemba, je mimi niende wapi?
  Najihisi kukataliwa kila sehemu ya muungano.
  Naomba mvae viatu vyangu na kujiuliza, je ungekuwa wewe ungefanyeje?
   
 2. kelvito

  kelvito JF-Expert Member

  #2
  Jun 8, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 388
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwa kiswahili chako cha "niwende" bora uende kwa mama tu!
   
 3. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #3
  Jun 8, 2012
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 30,488
  Likes Received: 3,127
  Trophy Points: 280
  kama una miaka 18 utachagua unataka uraia wa wapi
   
 4. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #4
  Jun 8, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 4,760
  Likes Received: 360
  Trophy Points: 180
  Nini kati ya uraia na undugu?
  Naungwa na undugu na sio uraia, kwangu undugu ni wa thamani kuliko uraia
   
 5. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #5
  Jun 8, 2012
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 30,488
  Likes Received: 3,127
  Trophy Points: 280
  Well undugu hauvunjwi na mipaka ya nchi au uraia. So you will be fine. Maana swali lako lilikuwa je mimi niende wapi? hukuuliza ndugu zako wako wapi!
   
 6. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #6
  Jun 8, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 28,062
  Likes Received: 6,951
  Trophy Points: 280
  Jamani waacheni wafu wazike wafu wao...
  Muungano si mali yetu, wala hatufilisiki kwa kuupoteza,
  uacheni uende
   
 7. M

  Mkandara Verified User

  #7
  Jun 8, 2012
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,426
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Ahaahahaha! ama kweli kumbe tupo wengi, basi wee kama mimi ndio maana najiita Mkerewe tu yaishe maanake kujiita Mhadimu - Mzanzibar ni aibu na kujitia machungu maana tulidharauliwa sana zamani na sasa hivi tumenyang'anywa nchi -bora huko bara!
   
 8. T

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #8
  Jun 8, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,676
  Likes Received: 416
  Trophy Points: 180
  Uraia pacha litakuwa suluhisho la matatizo yako, kwa hiyo hakikisha unalipigia chapuo kwenye tume ya katiba
   
 9. Ndjabu Da Dude

  Ndjabu Da Dude JF-Expert Member

  #9
  Jun 8, 2012
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 3,257
  Likes Received: 157
  Trophy Points: 160
  Swali lako ni batili na halileti maana. Ungefafanua kwanza una maana gani unaposema "niende wapi"? Wewe ni mtu mzima, ungekuwa mtoto mdogo au mtu aliye chini ya miaka 18 hapo tungeelewa.
   
 10. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #10
  Jun 8, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 11,380
  Likes Received: 490
  Trophy Points: 180
  Huko Zanzibar wanafikiri Wana mafuta Kumbe hayafiki hata mapipa mawili Ngoja uvunjike wata juta na wewe utakua mtu wa Kujuta ukichagua huko
   
 11. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #11
  Jun 8, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 51,785
  Likes Received: 12,196
  Trophy Points: 280
  ...Nenda kule ambapo unakuona unafit zaidi kuliko kwingine...labda ulilelewa huko, ulisoma huko na labda umeajiriwa huko

   
 12. dfreym

  dfreym JF-Expert Member

  #12
  Jun 8, 2012
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 337
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 35
  unataka uwende wapi? wenda bara kwasababu ukiwenda zanzibar, wao muungano ukivunjika wataanza kuzisaka pemba na unguja, ili wapemba wawende kwao pemba na waunguja wabaki kwao unguja.
   
 13. mathematics

  mathematics JF-Expert Member

  #13
  Jun 8, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 3,248
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  kwahiyo zanz mnataka muungano uvunjike manajipa matumaini kukiwa na uraia wa nchi mbili mtaendelea kufaidi kuishi Mwanza, Mbeya , Morogoro etc????
   
 14. doup

  doup JF-Expert Member

  #14
  Jun 8, 2012
  Joined: Feb 26, 2009
  Messages: 773
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Karibu Bara, huku hatubangui huyu mpare yule msukuma hawa wafipa na kule kwa wangoni kutoka south,

  we njoo tuu, na kama huko huku endelea tu kujishanganya.
   
 15. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #15
  Jun 8, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 16,075
  Likes Received: 2,177
  Trophy Points: 280
  Bali hapo ulipo!!
   
 16. Chapa Nalo Jr

  Chapa Nalo Jr JF-Expert Member

  #16
  Jun 8, 2012
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 5,213
  Likes Received: 1,603
  Trophy Points: 280
  Tutaanzisha kambi ya wakimbizi huko Kibaha kutunza kwa muda wale wasiojua wende wapi, lazima waamue ndani ya miezi sita, la sivyo............kama alivyofanya Idd Amin kwa idles.
   
 17. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #17
  Jun 8, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 28,718
  Likes Received: 3,610
  Trophy Points: 280
  nenda nungwi
   
 18. Codon

  Codon JF-Expert Member

  #18
  Jun 8, 2012
  Joined: Dec 16, 2011
  Messages: 630
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Pole ndugu yangu!Majibu unayopewa unaweza kweli kwenda Nungwi!Hapa ndio hasa pale pa mbayuwayu,Zawengine.........Changanya nazako!Angalia usiwe na akili kama yayule Popo wa CDM NA CCM!(Bungeni CDM,Bunge likiisha yuko CCM)
   
 19. Apolinary

  Apolinary JF-Expert Member

  #19
  Jun 8, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 4,679
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  wewe wa wap bwana baki kwa musukuma
   
 20. L

  Lakuchumpa Member

  #20
  Jun 8, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 73
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ukakae kigamboni ili uwe neutral. Bora kwa akina Ngosha basabi ba mang'ombe
   
Loading...