ccm hizi tisheti na kanga vipi?

Ringo Edmund

JF-Expert Member
May 10, 2010
4,879
1,125
huwa najiuliza hawa ccm wanaagizaje mzigo wa sare\\\\\\\\\\\\\\\\\\\\\\\/
huwa wananunua nyingi na kuweka store au kila likitokea jambo wanapiga simu china faster?
maana nasikia kesho wanataka kuongea na wanachama wao pale jangwani na kwa kuwa chama hakiko rohoni huwa wanajitambulisha kwa mavazi.
 
hawa jamaa bado hawajasoma nyakati, kuproject kwao ni tatizo, unajua bado hawajui maana halisi ya culture change in any organition, sasa wajiandae kuwa wapinzani, unajua ukiwa umezoe kuwapanda wenzeko migongoni, siku moja unaambiwa leo ni zamu yako kupandwa, kichwa ni lazima kiume, utatafakari mengi, ni lazima utagoma, utasingizia mengi, ccm kazi wanayo, CDM NA SISI NI ZAMU YETU KUUPANDA MGONGO WA CCM, TUKAZE KAMBA, WAACHE MAIGE KILA KITU LAKINI NI LAZIMA TUTATAWALA 2015
 
waache kutapatapa kwani hawajui jambazi haogopi jela?
kuiba wanataka ila jela hawataki hata kuitambua.
 
Ringo Edmund!

Nakwambia hawa mafisadi mwisho wao umeonekana tangu miaka kadha inayokatika.
Nakwambia hiyo kesho pale jangwani tusubirie na tuone. Hata wakigawa tisheti magunia na mabehewa nakwambia wakawapelekee familia zao.
Yani nakwambia hawa magamba hawana chao tena na hizo tisheti & kangha watavaa watoto wao.

Wananichafua roho sana hawa majambazi.


KG YA SUKARI TOKA Tsh 650 hadi Tsh 2,500/?
BATI G30 TOKA Tsh. 6,500/ hadi Tsh 15,500/ kwa kweli hili la mfumko wa bidhaa muhimu imenikatisha tamaa kbs kwa hawa mafisadi.
 
mi nafikiri huwa wanazo tayari ila uwa wanasubiri mda wa kampano wagawe kwa wenye njaa njaa zao
 
Back
Top Bottom