Marubani wa kitanzania tena waliojisomesha kwa ela zao,kwa ada ya zaidi ya millioni 60 kila mmoja,
Wanamlilia Waziri kupitisha fagio la chuma TCAA,kwa vile viongozi wa taasisi hiyo kwa sasa...
Aliyasema hayo mjini bagamoyo kwamba amechoka kuchafuliwa na vyombo vya habari na mitandao ya kijamii ameomba vyombo usika kumchunguza mali zake.
Inputs zetu.
Haya haya Takukuru anzeni na...
Kwa mambo yanaoendelea ATCL naomba elimu kidogo waTanzania wenzangu.
1. Is ATCL a government department or
2.a registered limited company under the board of directors?
Naomba kuelewa hili tu...
Naomba niishukuru sana Facebook......Kabla sikua najua Facebook ni nini,na kwa kuwa sasa naijua,nadiriki kusema kwamba inaonekana kama upotezaji mkubwa wa muda.
Sitaki kusema kwamba watu walio...
RAIS Mstaafu Benjamin Mkapa ametoa zawadi ya ng'ombe wawili wenye thamani ya zaidi ya Sh Milioni 1.4 kwa ajili ya kitoweo cha wajumbe 15 kutoka nchi 60 duniani ambao watashiriki Mkutano wa Dunia...
Waziri wa Uchukuzi Harrison Mwakyembe ameanza kutema cheche zake kwa kuanza kusafisha shirika la ATCL kwa kuwafukuza kazi Mkurugenzi Mkuu Bwana Chizi na Mhasibu wa shirika na baadhi ya watendaji.
MAGARI manne yaliyokuwa yamesheheni askari wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU) Kanda Maalum ya Tarime na Rorya mkoani Mara, jana yalivamia hospitali ya wilaya na kisha kutwaa kwa nguvu mwili wa...
Dakika ishirini zilizopita, Kuna thread ya "uongo" juu ya ziara ya Nape makambako leo na kudai kuwa alizomewa katika ziara hiyo,
UKWELI NI HUU;
Mimi nilikuwepo katika mkutano huo na ili...
Katika pita pita zangu hususan katika kituo cha mikutano cha Aicc nilikutana na njagu wawili waliovalia kiraia .Kwa kawaida kunapokuwa na events kama mkutano ulioisha wa AFDB usalama huwekwa...
ASALAAM ALEIKHUM wana JF.
Nimeona nami nisemee hali ya uchafu katika jiji la Dar es Salaam.
Nitaanzia FERRY /IKULU: Kwa kipindi kirefu san nilikuwa sijapita maeneo ya ferry. Kwa kweli nilipigwa...
Askofu Dk. Valentino Mokiwa
Jaji wa Mahakama Kuu Kanda ya Arusha, Fatma Massengi, aliyepaswa kutoa uamuzi wa kesi kuhusu pingamizi zilizotolewa na upande wa utetezi katika kesi ya kumpinga...
Tanzania Revenue Authority inakusudia kukusanya trilioni za pesa mwaka huu...Chanzo cha habari hakijasema Trilioni hizo zinatoka katika sekta ipi au wapi? Je ni kiasi gani kitatoka mfukoni kwa...
Tasnia ya habari inaonekana kupoteza mvuto baada ya watu walioonekana kupoteza mwelekeo wakimaisha na hatmaye kuingia huko kwa lengo la kutaka kujinufaisha wao ni si umma kama ilivyo tasnia hiyo...
Hii ni kutokana na watu wengi kuwa mabishoo wapandapo boda boda sasa basi hii kitu itawafaa sana maana visingizio hasa kina mama utasikia kofia lako chafu siwezi liva litaniharibia nywewe!ma bro...
jana maneja wa bar moja alinishawishi kunywa bia ya castle light kwa sababu stock ya bia za ndovu alizokuwa nazo zilikuwa zimeisha muda wake.nilishawishika na kuanza kuzigonga 'lights' kadhaa...
Akiwa makambako nape amekutana na zahama hiyo baada ya kukataa kuulizwa maswali na wananchi.
Baada ya kuona wanamzomea na kuonyesha alama ya v inayotumiwa na cdm naye kawaonyesha alama ya matusi...
Jamani tunakoelekea sasa ni kubaya siasa ss imetawala nchi kila kitu kila sehemu siasa siasa,mashuleni siasa-siasa,mahospitali siasa-siasa,kwenye biashara zetu siasa-siasa,yaani hata katika zile...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.