Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nimepokea sms toka 0757087398 inasema " Mheshimiwa Dakta Mwakyembe waziri wa uchukuzi kwanza kabisa poleni sana kwa msiba wa aliyekuwa mkurugenzi wa DTS mhandisi Saad Fungafunga alale pema peponi...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
MKUU wa Intelijensia za Jinai katika Jeshi la Polisi nchini, Hussein Laisseri ametaka jamii kuwa makini na ‘dada poa’ ambao hutumia udhaifu wa wanaume kuwalisha mihadarati na kuwaibia. Kauli...
0 Reactions
48 Replies
6K Views
Heshima mbele wakuu. Kuna jambo sijalielewa linafanywa na hii wanaita redio ya watu Clouds FM,leo mchana baada ya kipindi cha Njia Panda limerushwa tangazo la mpira kati ya TAIFA STARS VS GAMBIA(...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
MH ZITTO akiwa ndani ya manispaa ya IRINGA akifafanua kuhusu bajeti mwaka huu na jinsi ambavyo itakavyo kataliwa na Bunge unless otherwise ibadilishwe alielezea jinsi deni la Taifa tokea mwaka...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
wanajf kama kuna mtu ana habari za kinachoendelea kuhusu urejeshwaji wa wanyama waliotoroshwa maana isije kuwa makelele ya bungeni ndio mwisho! kama walitoroshwa kimagendo najua hata sheria za...
2 Reactions
32 Replies
3K Views
KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, ameiponda hotuba ya bajeti iliyosomwa bungeni juzi, akisema inaonyesha wazi kuwa serikali ya Chama cha Mapinduzi...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
WanaJF huyu jamaa anaitwa Hussein Bashe ni kijana anaelelewa na mafisadi. Pia kwa taarifa zinazoendelea kufanyiwa uchunguzi ni kwamba amekuwa agent wa kuchafua watu kwenye vyombo mbali mbali. Sasa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hodi jamvini. Leo naomba tujadili suala la kuabudu bila kuwabughudi wengine. Tanzania ni Secular state (haina dini) kama nchi nyingi duniani. Hili ni jambo bora na linatakiwa tulilinde kwenye...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
WanaJF wenzangu habarini za jioni. Nilikuwa natafakari juu ya jambo hili.Hebu tazameni jirani zetu wakenya walivyopiga hatua ktk suala zima la maendeleo ya nchi yao hata wakisimama kuendelea na...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wana JF, kumepita gari ya matangazo huku Tabata kwamba kesho kutakuwa na mkutano wa CDM pale uwanja wa Tabata shule. Mjuze mwenzako hasa wa jimbo la Segerea tuhudhurie kwa wingi tusikie mikakati...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Muu hali gani wana jamvi, ktk tafakari yangu ya leo nimejaribu kutafakari kwa kina kwanini ccm inashindwa ktk mambo yake mengi kama ahadi zao za uchaguzi mkuu mwaka 2010 kushindwa kuzitimiza...
0 Reactions
0 Replies
963 Views
Katika karne ya 21 ni kitu cha kushangaza sana kusikia kwamba kuna baadhi ya watanzania bado wanazingatia mila ambazo kwa kiasi kikubwa zina athari katika mazingira tunamoishi pamoja na jamii kwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kulikuwa na mshikeshike wa DECI na watu walipanda mbegu kusubiria kuvuna baada ya muda mfupu Watuhumiwa walishikwa na Account zao zikagandishwa, Ipo wapi ile pesa ya DECI na watuhumiwa hatima...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakuu heshima mbele Baada ya kufanya kazi za kwa miaka kumi ss nimeamua kuacha nataka nijiajiri mwenyewe! Nimekuwa mwanachama NSSF toka 2002 mpaka leo michango yangu ipo vizuri barua ya kuacha...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
Kwa miaka kadhaa baada ya Gaddafi kuitungua ndege ya abiria ya Marekani PAN AM ambayo ilipita juu ya anga la Libya, hatimaye ndege hazikuwa huru kuvuka bahari ya kati, zimekuwa zikiambaa kupitia...
0 Reactions
23 Replies
5K Views
PENTECOSTAL COUNCIL OF TANZANIA (PCT) TAMKO LA BARAZA LA MAASKOFU WA KIPENTEKOSTE KUHUSU VURUGU ZA ZANZIBAR 1. UTANGULIZI Ndugu waandishi wa vyombo vya habari, tumewaiteni hapa leo ili kutoa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Baadhi ya watuhumiwa wa utapeli wa kufanya waganga wa kienyeji wa Kundi la Lamba Lamba wakiwa wameshika dhana za kazi wakiwaonyesha waandishi wa habari pamoja na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Maafisa wa idara ya uhamiaji ya Uingereza, wanaotayarisha visa za watu kutoka barani Afrika, huwa na uonevu na huwanyima raia wa kiafrika wanaotafuta visa kuingia nchini Uingereza. Madai haya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Dr. Slaa amesema sawia, serikali inakopa ili viongozi walipane mishahara na posho. bila kusahau sherehe na matamasha mbali mbali pale mnazi mmoja. ANGALIA UKUMBI WA BUNGE LA...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wale wataalam wa hii mambo, hebu tuelezeni kwanini Tanzania ipo SADC. Na kwanini nchi zingine za East Africa ( Kenya, Uganda.... etc) hazipo.
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Back
Top Bottom