Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

ABOUT REGINALD MENGI. Early Life Chartered accountant by training, Reginald Mengi created the IPP business conglomerate in the mid-1980s after serving as Chairman and Managing Partner of...
0 Reactions
6 Replies
12K Views
  • Poll Poll
https://www.facebook.com/chademadiaspora KARIBU CHADEMA DIASPORA FACEBOOK PAGE "LIKE" IT PLEASE! ​ https://www.facebook.com/chademadiaspora KARIBU CHADEMA DIASPORA FACEBOOK PAGE "LIKE"...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
kwa hali ya kawaida soda na juisi ni vinywaji vinavyotumika kwenye sherehe mbalimbali, pia vinywaji hivi utumiwa na wengi kuwapa wageni sasa nashindwa kuelewa kwanini mikutano au warsha za...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wana JF, Taarifa za uhakika ambazo nimezipata hivi sasa kutoka chanzo cha uhakika zinasema Mhariri wa Rai Masyaga Matinyi amekamatwa kwa tuhuma za kuomba na kupokea rushwa ya Sh. M 1.8, Matinyi...
1 Reactions
69 Replies
8K Views
  • Closed
Nimekuwa nikisikilize hiki kituo kwa muda sasa na kitu nilichogudua ni kwamba sio management yake wala wafanyakazi wengine wote hawako na nia ya kitufikirisha kuhusu maswala makubwa yenye maslahi...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
According to Clouds FM, Dr Harrison Mwakyembe amefanya supprise visit na kusafiri kwa treni kutoka Dar kuelekea Dodoma kuhudhuria kikao cha bunge. Mud si mrefu tutafahamu alichokusudia kufanya...
12 Reactions
208 Replies
17K Views
Je, Ni uhaba wa wataalam au ndiyo mazoea ya kupenda vya bure au rushwa!!? Tembelea website na blog za Bongo, ziwe za serikali, mashirika makubwa au za watu binafsi utashuhudia mwenyewe...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
habari wanajamvi. hivi zile habari za kutujengea barabara tano,tano juu na chini zimeishia wapi, wale wa Kigoma vipi ule uwanja waliouhaidi magamba ushaanza kufyekwa?Wakazi wa Dar es salaam(hasa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Honestly mimi sio mchumi kiviile japo nilisoma Micro na Macro economics wakati nachukua kadegree kangu ka kwanza hivyo siwezi kujigamba na uchumi wangu mbele ya wachumi. Naomba wajuzi wa...
0 Reactions
0 Replies
849 Views
Kuna taarifa kuwa kuna ajali imetokea Makutano ya Tabata relini. Roli la mizigo limegonga daladala ya Ubungo Tabata watu kadhaa wamefariki dunia na wengine kujeruhiwa. Dereva wa Roli inasemekana...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
ni chama gani cha upinzani barani africa kilishika madaraka kutoka chama tawala,na kikawa bora zaidi na kuleta mabadiliko??!!!(kwa kupitia uchaguzi) kwa mtazamo wangu mbwembwe huwa nyingi...
0 Reactions
0 Replies
733 Views
Nimekuwa nikifatilia maisha ya watoto waishio mitaani kwa muda mrefu sasa na kujikuta nikijiuliza maswali mengi ambayo kwa nyakati tofauti nimekuwa nikikosa majibu juu ya hawa watoto na serikali...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Every time people are talking badly about this. Its highly due to the loss of time for passangers who tend to cross the place. Does it mean that the MP-Mzee wa Kiraracha didn't see this? Then who...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Aliyekuwa kiongoziwa mashtaka ya I.C.C luis moreno ocampo amepata mrithi atakayechukua nafasi yake,anaitwa fatou bensouda mwanamama kutoka gambia ana miaka 50,ataongoza kwa miaka 9,pia ataendeleza...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
MABERE MARANDO na WILFRED LWAKATARE wa CHADEMA wako wapi? mbona wamekuwa kimya sana au ndo miongoni mwa wana-CDM waliopelekwa ujerumani na uingereza kupata mafunzo ya kiintelijensia?
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kuna watu nimewasikia kwenye vyombo vya habari wameshutumiwa kuwa Wamefuja mali za Nchi, na ni mafisadi wakubwa,.. mapapa wakubwa, na mapapa wadogo, dagaa... BUT ndio hao hao Wamekuwa wanajenga...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ndugu zanguni atuna budi kuishi kama wasio na matumaini na kuamini mungu ndie alimleta na ndie alieamua kumchukua ni vigumu kuamini na sikuwahi kuhisi hili ila furaha ilioje ni kwamba mama yangu...
16 Reactions
53 Replies
5K Views
Huyu Ndugu muda mrefu alikuwa NBAA.Je anacheti gani cha uhasibu,ACCA au CPA?Tupeni CV wadau!
0 Reactions
13 Replies
7K Views
Ni kweli kwamba ubinadamu umetiwa hatarini kwa kuzingirwa na Malaria. Katika maeneo yote ya kitropiki, vimelea vya ugonjwa wa Malaria vinavyohatarisha afya ya mwanadamu na kusababisha vifo...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
kuna doga amechukua tuzo za taswa hapa nadhani ni mpiganaji kapoteza mda mwaingi kumsifia mkewake kalazimisha hadi kumpandiasha stejini ni limama hilo kama mama yake shame on him,nimekosa picha
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Back
Top Bottom