Chekini uwiano huu na wenzetu wakenya ndipo utagundua kitu.

KIBURUDISHO

JF-Expert Member
Mar 28, 2011
1,002
274
WanaJF wenzangu habarini za jioni.

Nilikuwa natafakari juu ya jambo hili.Hebu tazameni jirani zetu wakenya walivyopiga hatua ktk suala zima la maendeleo ya nchi yao hata wakisimama kuendelea na safari halafu sisi tutoke nyuma tunakimbia speed hatutawakamata.

Nikajiuliza ka swali kadogo ka kizushi,hivi mbona kajengo kao ka bunge ni kadogo na ka kawaida tu ila sheria na mipango wanayoipanga inatekelezeka na nchi yao imepiga hatua sana??!.

Tofauti na sisi tuna jengo kubwa tena la kifahali la bunge ila yanayofanyika huko ndani hayatekelezeki? Na nchi yetu inaendelea kubaki nyuma?
 
Siku zao zina hesabika 2015 napita tu

Development formula is denoted in the following mathematical function:
D=f(v,s,r,)
Where,
f=function of
V=vision (clearly stating what we want. This should be specific, measurable,realistic and time bound).
S=strategies (how do we want to take our country forward?
r= resource (how do we utilise available resources from people, minerals,strategic location we have for betterment of Tanzanians.
 
wewe naona hujafika kenya umeishia kuangalia matangazo yao ya ROYCO MCHUZI MIX na ile THIKA SUPER HIGHWAY(inayojengwa kwa mkopo wa AfDB),KICC,KQ(ubia na KLM) basi unafikiri ndio maendeleo. nenda ka-google then andika DEVELOPMENT INDICATORS halafu uchukue ikla indicator kama zimetimizwa Kenya......unafahamu KIBERA? Kenya ina matajiri wengi wachache(wengi wengi wao utajiri wa kurithi (uhuru Kenyatta), wa wizi wa pesa za umma(.....) na wasomali(utekaji meli). lakini asilimia kubwa ya wakenya ni maskini wa kutupwa!!!! kama uchumi wa kenya ni mzuri kivile unasema hawa wakenya wanaokimbilia TZ, Arabuni,Marekani kufanya kazi za ndani si wangebaki kwao?
 
WanaJF wenzangu habarini za jioni.

Nilikuwa natafakari juu ya jambo hili.Hebu tazameni jirani zetu wakenya walivyopiga hatua ktk suala zima la maendeleo ya nchi yao hata wakisimama kuendelea na safari halafu sisi tutoke nyuma tunakimbia speed hatutawakamata.

Nikajiuliza ka swali kadogo ka kizushi,hivi mbona kajengo kao ka bunge ni kadogo na ka kawaida tu ila sheria na mipango wanayoipanga inatekelezeka na nchi yao imepiga hatua sana??!.

Tofauti na sisi tuna jengo kubwa tena la kifahali la bunge ila yanayofanyika huko ndani hayatekelezeki? Na nchi yetu inaendelea kubaki nyuma?

Una uhakika au bora umeandika,
Kenya ni nchi masikini kama sisi tu, tofauti ni ndogo ndogo za nairobi na dar.

Huwa nawashangaa sana wa TZ kujipima na kenya, kama unataka maendeleo jipime na watu waliondelea kweli kweli ili kuweka malengo makubwa
 
wewe naona hujafika kenya umeishia kuangalia matangazo yao ya ROYCO MCHUZI MIX na ile THIKA SUPER HIGHWAY(inayojengwa kwa mkopo wa AfDB),KICC,KQ(ubia na KLM) basi unafikiri ndio maendeleo. nenda ka-google then andika DEVELOPMENT INDICATORS halafu uchukue ikla indicator kama zimetimizwa Kenya......unafahamu KIBERA? Kenya ina matajiri wengi wachache(wengi wengi wao utajiri wa kurithi (uhuru Kenyatta), wa wizi wa pesa za umma(.....) na wasomali(utekaji meli). lakini asilimia kubwa ya wakenya ni maskini wa kutupwa!!!! kama uchumi wa kenya ni mzuri kivile unasema hawa wakenya wanaokimbilia TZ, Arabuni,Marekani kufanya kazi za ndani si wangebaki kwao?

Soma hapa chini mkuu!

http://www.afdb.org/fileadmin/uploa... of the Pyramid_The Middle of the Pyramid.pdf

6875753934_fbf2edfff4_z.jpg
 
WanaJF wenzangu habarini za jioni.

Nilikuwa natafakari juu ya jambo hili.Hebu tazameni jirani zetu wakenya walivyopiga hatua ktk suala zima la maendeleo ya nchi yao hata wakisimama kuendelea na safari halafu sisi tutoke nyuma tunakimbia speed hatutawakamata.

Nikajiuliza ka swali kadogo ka kizushi,hivi mbona kajengo kao ka bunge ni kadogo na ka kawaida tu ila sheria na mipango wanayoipanga inatekelezeka na nchi yao imepiga hatua sana??!.

Tofauti na sisi tuna jengo kubwa tena la kifahali la bunge ila yanayofanyika huko ndani hayatekelezeki? Na nchi yetu inaendelea kubaki nyuma?

Ukweli ni kwamba waasisi Wakenya, kina Mzee Jomo Kenyata waliweka misingi mizuri, tofauti na Waasisi wa Tanzania, Nyerere na Karume, waliweka misingi mibovu.
 
Ths country bwaaana is vr poor!Wwe unadhani tatzo ni nn mkuu?Tuanze na wwe...UMEIFANYIA nn TZ?
 
Back
Top Bottom