Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari zenu ndugu zangu. Naamini wengi ambao tunatumia JF huenda tukawa tunatumia Facebook pia, sasa kwa wale wanaotumia hii social media tafadharini sana kuweni makini na huyu mtu anayejiita...
2 Reactions
25 Replies
3K Views
Current Secretary of State Hillary Rodham Clinton has set a record for most countries visited -- 98 and counting -- but predecessor Condoleezza Rice has traveled the most total miles...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Heshima mbele Jamani naomba kujua nilisikia serikali inajipanga kutetea sisi wapangaji maana ss hv kachumba kamoja 40,000/ duh bado umeme maji ukijumlishaa hali ya maisha inavyokwenda jamani...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Heshima mbele Jamani naomba kujua nilisikia serikali inajipanga kutetea sisi wapangaji maana ss hv kachumba kamoja 40,000/ duh bado umeme maji ukijumlishaa hali ya maisha inavyokwenda jamani...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani wenye taarifa ya maji kupatikana Dar kwa wakazi wa Tegeta,Mbezi beach Mwenge mpaka Town .Tunaomba kujua jamani kwani hali mbaya sana huku majumbani kwetu hasa sisi akina mama.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Mara nyingi imekuwa kawaida kusikia kuwa Tunavaa nguo zinazoonesha maumbile yetu "hasa kwa mambinti" wa kiafrika na tunasema kuwa siyo uta maduni wetu...ke khe ke! hebu angalia Hapa upi ni...
3 Reactions
24 Replies
12K Views
nimekuwa nikiona matajir wengi hasa mikoa ya nyanda za juu kusini wakisemwa kuwa ni matajiri kutokana na dawa za kikinga. Hapa mjin Dar es salaam matajiri wengi huitwa ni mafreemason. Naomba...
0 Reactions
10 Replies
9K Views
Ni siku kadhaa zimepita bila kumsikia mwana jamvi mwenzetu William J. S. Malecela. Ni kwamba amerudi @ New York au ndio bado yupo kwa wananchi huko vijijini? Siamini kama changamoto alizozipata...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
ndugu wapendwa naomba kutoa shukran za dhati kwa wale wote walioshiriki kwa namna moja ama nyingine kufanikisha mazishi ya mama yangu mpendwa alitwaliwa na bwana hivi karibuni ,upendo wenu naomba...
4 Reactions
15 Replies
9K Views
<meta http-equiv="refresh" content="0;URL=launch?reason=no_js_enabled"> Watanzania wenzangu, Nachukua nafasi hii, kwa masikitiko, kutoaTamko fupi kama kaka wa MASYAGA MATINYI - mdogo wangu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wandugu! Kuna ukweli wowote kuwa mtu anayetumia mguu na mkono wa kushoto kwenye michezo, wanauwezo kuliko wanaotumia mkono/mguu wa kulia? Baadhi ya wanamichezo,wanaotumia miguu/mikono ya kushoto...
0 Reactions
21 Replies
6K Views
Waziri wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo Zanzibar Mhe Said Ali Mbarouk, akizungumza na ujumbe wa Wafanyakazi wa TV Oman ulipofika ofisini kwake kujitambulisha kwa ujio wao Zanzibar wa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
I'm asking myself what will happen when these Politicians at home (Tanzania/Tanganyika) we call them "Wanasiasa Machachari" Dicide to Assault and Attack fellow Ccm/Chadema Politicians just like it...
0 Reactions
0 Replies
889 Views
Habari wana jamvi,ki ukweli TBC wamepoteza uelekeo na maana ya kuanzishwa kwao.Ila kuna azina ya waandishi na watangazajia ambao wapo nao,mmoja wao ni huyu mtangazaji wa mkoa wa Mara Mr Greyson...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ndugu zangu mmelalamika sana ooh mara yule mama wa Tgnt kila siku analalamika tu peke yake sasa mkae mikao ya kula kitu hicho kinakuja kwa wale ambao....... 1.Wanaolala nje kwa kuhofia kupigwa...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wakuu juzi nimepita kivukoni nikienda Mjimwema na baadaye kurudi tena mjini, kwa kweli ni balaa. Pale kwenye maeneo ya kupumzikia kusubiri kivuko pamenifanya nishangae na kujiuliza ikiwa hii nchi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ni matumaini yangu mko poa wana jf. Napenda kupata ufafanuzi juu ya uamuzi wa sumatra kutaka usafiri wa noar usitishwe.hii ni kwa sababu vijana wengi walikuwa wamepata ajira pia watu wengi wakuwa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Siku za hivi karibuni nilisafiri kwenda Mwanza na Bukoba kwa kutumia bus. Wasafiri tulipatwa na adha nyingi njiani ukianzia kusimamishwa bila mpango na maaskari usalama barabarani, mizani, na...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Fidelis Butahe WATOTO wenye umri chini ya miaka 18 wanaotuhumiwa kwa makosa mbalimbali au waliohukumiwa huwekwa sehemu moja na watu wazima katika Gereza la Segerea, Dar es Salaam na baadhi yao...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Ni mkazi wa bagamoyo,aitwaye HAMIS TANGA,ameota matiti baada ya kutumia dawa za kupambana na virusi vya ukimwi sosi:mwananchi
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Back
Top Bottom