Clouds FM na Matangazo Yaliyokwishapita Muda.

Rogie

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
7,581
6,675
Heshima mbele wakuu.
Kuna jambo sijalielewa linafanywa na hii wanaita redio ya watu Clouds FM,leo mchana baada ya kipindi cha Njia Panda limerushwa tangazo la mpira kati ya TAIFA STARS VS GAMBIA( Mechi ilishachezwa juma lililopita),likiwahamasisha watanzania kwenda uwanjani kushangilia timu. Kama hii haitoshi siku moja baada ya Kampuni ya Bima kuchangia tukio la utoaji damu pale Mlimani city Clouds walirusha tena tangazo la kuwaomba watz wakachangie damu ilhali siku imeshapita.
Binafsi nashindwa kuielewa hii redio inaendeshwaje na kama lina watu waliosomea kabisa fani hii..
 
Back
Top Bottom