Kweli tunapenda ufahari na starehe...? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kweli tunapenda ufahari na starehe...?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by sinafungu, Jun 16, 2012.

 1. sinafungu

  sinafungu JF-Expert Member

  #1
  Jun 16, 2012
  Joined: Feb 13, 2010
  Messages: 1,406
  Likes Received: 569
  Trophy Points: 280
  Dr. Slaa amesema sawia, serikali inakopa ili viongozi walipane mishahara na posho. bila kusahau sherehe na matamasha mbali mbali pale mnazi mmoja.

  ANGALIA UKUMBI WA BUNGE LA KENYA (kama Karimjee hall) KISHA ANGALIA UKUMBI WETU WA BUNGE, utagundua viongozi wetu walivyo elemewa na anasa vichwani mwao hata kama deni la Taifa linazidi kuongezeka.
   
 2. s

  silent lion JF-Expert Member

  #2
  Jun 16, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 538
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 45
  Mkuu umeongea pointi muhimu. Ndo mana hii nchi haiendi mbele. Sherehe na starehe zinzpewa vipaumbele sana kuliko maendeleo.
   
 3. s

  silent lion JF-Expert Member

  #3
  Jun 16, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 538
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 45
  Mkuu umeongea hoja ya msingi. Hii nchi ndio maana haiendi mbele kwa sababu viongozi wanapenda sherehe sana .
   
 4. KIBURUDISHO

  KIBURUDISHO JF-Expert Member

  #4
  Jun 16, 2012
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 954
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 45
  Hivi utadhani tulikuwa pamoja dk1 iliyopita nimepost hapa uzi kama huu hebu nipe like na mimi pia nikupe
   
 5. BabaDesi

  BabaDesi JF-Expert Member

  #5
  Jun 16, 2012
  Joined: Jun 30, 2007
  Messages: 2,793
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  ...unategemea nini kutoka kwa viongozi wasanii????
   
Loading...