M4c kutua tabata | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

M4c kutua tabata

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by MBUTAIYO, Jun 16, 2012.

 1. MBUTAIYO

  MBUTAIYO JF-Expert Member

  #1
  Jun 16, 2012
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 533
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  Wana JF, kumepita gari ya matangazo huku Tabata kwamba kesho kutakuwa na mkutano wa CDM pale uwanja wa Tabata shule.
  Mjuze mwenzako hasa wa jimbo la Segerea tuhudhurie kwa wingi tusikie mikakati kutoka kwa makamanda akina Lema na wengine wakiongozwa na Dr.
   
 2. Nambe

  Nambe JF-Expert Member

  #2
  Jun 17, 2012
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 1,455
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  asante mkuuu
   
 3. KIJOME

  KIJOME JF-Expert Member

  #3
  Jun 17, 2012
  Joined: Jun 7, 2012
  Messages: 3,079
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  tumekupata mkuu nilikuwa natafuta uhakika wa hili,mapema kamanda nikawahi sehemu ya kukaa chini sio kwenye viti kama magamba.
   
 4. kivyako

  kivyako JF-Expert Member

  #4
  Jun 17, 2012
  Joined: Feb 2, 2012
  Messages: 8,864
  Likes Received: 4,246
  Trophy Points: 280
  Tunakuja
   
Loading...