Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mahabusu 12 na mfungwa 1 wametoroka gereza la wilaya ya Lushoto. Chanzo. Radio mwambao.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Katika kutafakari tu ni makubaliano yapi au msingi upi unaofanya bajeti za nchi mbalimbali hasa afrika mashariki kusomwa siku moja na takribani kwa muda unaofanana? au kuna sababau za kiuchumi...
0 Reactions
0 Replies
821 Views
Mighahawa kama hii huzua mangung'uniko kwa wahudumu kuwa na ubaguzi wa rangi Utafiti nilioufanya hivi karibuni katika mighahawa inayoitwa ya kitalii hapa nchini nimebaini kwamba wateja wenye...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Cost of Rearing a Child Rises to $234,000 Having kids is expensive, as if parents needed to be told that. But the US government issued a report today quantifying just how expensive: For a child...
0 Reactions
2 Replies
855 Views
HISTORIA imethibitisha kuwa jamii, dola au mataifa yaliyofanikiwa kupata maendeleo haraka ni yaliyokuwa na viongozi ambao walithamini na kutumia kwa busara ’vipaji’ vya watu wachache miongoni...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hotuba ya Bajeti ndo inasomwa sasa lakini usomaji wa Mheshimiwa Waziri wa Fedha unaninyima raha. Nakosa mtiririko mzuri kwa sababu anakwamakwama sana na kukoseakosea maneno. Nimesema tu just to...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
ukiwa kama kijana mwenye mtazamo tofauti katika maisha yako inabidi utambue nguvu kazi yako katika kuletea maendeleo taifa lako, hii ni pamoja na kujua wajibu wako katika nafasi ulionayo kwa...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Jeshi la polisi mnajifunza nini hapa? mnapaswa kuwa polisi rafiki, siyo polisi adui, rejesheni imani kwa watanzania muwe rafiki kama mnavyoona ktk picha. hawa ndo waajiri wenu wa baadae 2015...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Majambazi yenye silaha usiku wa kuamkia leo yamefanikiwa kuwateka wavuvi na kuwanyang'anya mashine zipatazo 20 zenye thamani ya Tsh,896,000,000/= .Tukio hilo limetokea ktk visiwa vya Ukara na...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kuna habari za kutatanisha kuwa tayari baraza la wawakilishi la Zanzibar au tunaweza pia kuliita Bunge la Zanzibar wanavutana kuhusu kuvunja Muungano na kundi linaloelekea kushinda ni lile...
3 Reactions
65 Replies
8K Views
  • Closed
Ukombozi wa kuwapinga wakoloni katika kudai uhuruTanganyika umeanzia mbali sana hata kabla ya TANU kuanzishwa.historia inaeleza kuwa walikuwepo viongozi mbalimbali kama kina chifu mkwawa,chifu...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nielekezeni jamani
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakuu,nafuatilia kwa umakini hii bajeti ya mwaka wa fedha 2012/2013,ni bayeti ya kukomoa,kuanzia Mawasiliano,Pombe,Sigara,Magari,vimepanda.... Mbaya zaidi huyu Waziri wa fedha anasoma huku...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wadau hivi ni kwanini elimu ya juu Tanzania haimuwezeshi mhitimu kujiajiri pindi amalizapo masomo yake,matokeo yake anazunguka mtaani miaka na miaka na vyeti vyake anaishiwa kudhalilishwa na...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mimi nina swali ambalo napenda kupata maoni ya watu humu! Je kuna uhusiano wowote kati ya uwezo wako wa kiakili (Intelligence) na hali yako ya kimaisha? nikimaanisha kwamba, Je, umaskini wako au...
0 Reactions
0 Replies
761 Views
Nimejaribu kuangalia haya mashirika ya mifuko ya jamii nakugundua kuwa ni wadharimu wanyonyaji wakuu wa wananchi!! haiwezekani mwananchi achangie pesa yake na yeye asifaidike!! Na wakati walumlipa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
POSITIVE THINKING Positivethoughts are life enhancing. They empower you and make You feelstronger and more confident. Positive thinking is not just a motivational idea. It has measurable...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu,tumepanda bus la Sumry kuja Dar, limeharibika hapa nje ya Makambako toka saa 3 asubuhi, hawataki kuturudishia nauli,wametuahidi kutuletea bus jingine tokaMbeya wanatudanganya lipo karibu na...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Wadau. Nyumbani kwangu mabomba yanatoa maji ya chumvi japo huwa yanaingia kwenye reservoir then na pump kwenye tank ndo yanaingia ndani. Sasa natafuta utaalam wa kuyabadili haya maji chumvi ili...
0 Reactions
2 Replies
6K Views
Serikali kupitia Tume ya Mawasiliano nchini imesema kuwa ifikapo Disemba 31 mwaka 2012 ndiyo itakuwa mwisho kwa vituo vyote vya televisheni kurusha mawasiliano yake katika mfumo wa analogy na...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Back
Top Bottom