Kero: Ipo wapi Ile Pesa ya DECI?

MAGEUZI KWELI

JF-Expert Member
Jul 16, 2011
1,947
253
Kulikuwa na mshikeshike wa DECI na watu walipanda mbegu kusubiria kuvuna baada ya muda mfupu
Watuhumiwa walishikwa na Account zao zikagandishwa,
Ipo wapi ile pesa ya DECI na watuhumiwa hatima yao nini??
Changa la macho tayari nini?
Kwa wanaokumbuka hili wachangie
 
mkuu inawezekana ni system ya kukusanya mapato serikali inapokuwa inafilisika.
Ule tayali mchanga maskini akiinuka sharti adidimizwe.
 
usinikumbushe yale maumivu jaman, niliwek hela nyingi kulingan na uwezo wangu. hivi ingeendelea bank nyingi si zingefirisika?
 
Kesi bado ipo Mahakamani na account zilikuwa freezed na Bank kuu. Kesi ikiisha watu watarudishiwa mbegu zao.
 
Hayo ya Deci ni maumivu ambayo bado yanawaumiza walio wengi mimi nikiwa mmoja wao. Let us wait and see.:A S-fire1:
 
DECI hii hapa....

The financial pyramid called MMM-2011, launched by convicted fraudster Sergey Mavrody, has bankrupted. Mavrody is notorious for being behind Russia’s biggest Ponzi con in the 1990s, which left millions of families without their savings.Paying investors an astounding 40 per cent per month “is absolutely not possible in the present reality”, Mavrody said in an online video statement announcing the shutdown of the enterprise.He pledged to use the remaining money to cover as many debts as possible, but stressed that “certainly, it’s not enough for everyone.”He also promised to cover the rest of the debt by launching a new financial pyramid called MMM-2012.Mavrody also lashed out at Russian authorities for launching a criminal case against him, saying it had contributed to ................

Details>>>>Notorious Ponzi schemer shuts down rebooted pyramid — RT
 
Back
Top Bottom