Haya ni mazoea au ufahamu mdogo?

MUNYAMAKWA

Member
Jun 15, 2012
59
5
Katika karne ya 21 ni kitu cha kushangaza sana kusikia kwamba kuna baadhi ya watanzania bado wanazingatia mila ambazo kwa kiasi kikubwa zina athari katika mazingira tunamoishi pamoja na jamii kwa ujumla.Mfano ni pale mtu anapochoma moto MISITU ovyo kwa imani kwamba anapima urefu wa maisha yake,anapima kama mkono wake ni mzuri na hata kuamini kwamba anapochoma moto moshi unapopaa juu mbinguni hutengeneza mvua.Imani za aina hii na zingine ambazo zinaleta athari katika mazingira yetu tutaendelea kuzikumbatia mpaka lini kwani kinachokosekana ni nini,ufahamu mdogo?,kutowajibika? au ? na NANI BASI ALAUMIWE !!Chanzo:Munyamakwa
 
Back
Top Bottom