Kushindwa kwa mambo mengi ccm | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kushindwa kwa mambo mengi ccm

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Shine, Jun 17, 2012.

 1. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #1
  Jun 17, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Muu hali gani wana jamvi, ktk tafakari yangu ya leo nimejaribu kutafakari kwa kina kwanini ccm inashindwa ktk mambo yake mengi kama ahadi zao za uchaguzi mkuu mwaka 2010 kushindwa kuzitimiza, viongozi wao wengi kuwa wezi na wasio jali wapiga kura wao baada ya kupata kura zao. Nikafikiri labda ccm haina wasomi wa kutosha kuisaidia kifikra serikali yao bado nikakuta kuna wasomi kibao wakiwemo maDR. Maprofesa na wengine wengi, swali langu je wasomi wa ccm ni wale wa kusoma ili wapate vyeti au ni kwaajili ya knowledge ya kufanyia kazi? Au uwezo wanao ila ulafi na ulevi wa madaraka ndo umewazidi?
  Nawasilisha,
   
Loading...