Zitto afafanua kuhusu deni la Taifa... kila Mtanzania anadaiwa Tshs 488,000

BINARY NO

JF-Expert Member
Dec 29, 2011
2,102
2,042
MH ZITTO akiwa ndani ya manispaa ya IRINGA akifafanua kuhusu bajeti mwaka huu na jinsi ambavyo itakavyo kataliwa na Bunge unless otherwise ibadilishwe alielezea jinsi deni la Taifa tokea mwaka 2006 lilikua ni Trilion 6 mwaka 2009 ni Trilion 9, mwaka 2011 ni Trilion 11 na funga kazi ni 2012 ni Trilion 22 ambapo alisema kila mtanzania anapaswa kulipa sh 488,000/= hali ambayo iliwashutua wananchi waliokuepo baada ya kufafanua Trilion ipoje..

Pia aliendelea kuichambua bajeti ambapo alisema maskini Dr mgimwa waziri wa fedha ni km huu mzigo ni mkubwa sana kwake na km vile hajui kinachoendelea ktk bajeti...

Walikuapo wazungimzaji wengine kama James Malya aliekua kiongozi wa umoja wa vijana CCM Arusha na baadhi ya viongozi waliojivua magamba kama aliyekuwa anagombea ubunge kwa tiketi ya CCM mkoani Iringa ambapo alirudisha kadi tatu na za mke wake
 
Mheshimiwa zitto zuberi kabwe amewaeleza maelfu ya wananchi wa iringa na viunga vyake kuwa deni la atiza kklimepanda hadi kufikia trilioni 27 na kila mtanzania ndani ya watanzania mil.45 wanatakiwa kulipa 488,000 hadi mtoto mdogo.

Aliyasema hayo huku wananchi wakiendelea kufunguka na kuuliza maswalli juu ya bajeti ya tanzania ambayo haimnufaishi mkulima bali inaendelea kumdidimiza. Zitto alisema kuwa marais walikubaliana katika azimio la maputo kila mwaka bajeti ya kilimo ifikie asilimia 10 ya pato la taifa lakini cha ajabu hata asilimia 5 haijafikia.

amewaomba pia wananchi kutazama tv siku ya jumatatu ambapo atakuwa akisoma bajeti mbadala ya taifa huku msaidizi wake akisoma hali ya uchumi tanzania ambaye ni waziri kivuli wa mipango. zito alisema kuwa gharama ya maisha kwa ujumla imepanda kutoka asilimia 6 mwaka 2009 hadi asilimia 18 mwaka huu. gharama ya nishati imepanda mpaka asilimia 27 na chakula imepanda kwa asilimia 25.

zitto pia ameapa kuwa kambi ya upinzani itakataa bajeti inayoletwa kwani haimssaidii mtanzania wa kawaida ila inazidi kumuumiza. tanzania kwa sasa inadaiwa trilioni 22 na inaongeza trilioni 5 kwa mwaka huu na wameshakopa trilioni 2 bado tatu. Bajeti ya mwaka huu inaonesha kuwa tr. 4.5 itaenda kwenye maendeleo na trilioni 10.5 itaenda kwenye matumizi ya kawaida. Tanzania imekusanya tr. 8 kwenye mapato ya ndani lakini matumizi ni tr. 10. Hii inaonesha kuwa maendeleo yote yatagaramiwa na pesa za wahisani

SAM_0224.JPG
 
hii inchi tabu sana..deni la 488,000 ni la tsh trillion 22..kwa ongezeko la trillion tano ambazo tunategemea kukopa kw abajeti hii ya sasa ndio total itakua trillion 27 na deni kwa kila kichwa yawezekana likapanda mpaka laki6 hivi na ushee
 
Sintolipa mkuu,nntawaagiza hao wahisani wakawadai mafisadi ndio wanajua pesa zao zilipo
 
Siasa bana, kawachanganya wananchi na kuondoka,

Angekuwa mkweli angewaeleza pia kuwa hilo deni ndo linalipa mshahara wake na hata gari alilopanda ni sehemu ya deni hilo.
Pia aeleze kuwa hilo deni sehemu imetumika kulipa ruzuku ya chama chake ambacho kinapokea mamilioni ya shilingi kila mwezi toka serikalini.
Vinginevyo ni upotoshaji na kujaribu kuwadanganya wananchi ambao hawawezi kuelewa vizuri mambo hayo.
 
Duh akili zingine bana
 
Wanikate kwenye PAYE yangu nimalizane nao!! Nadhani miezi miwili ntakua shamaliza deni langu hili la 488k.
 
rostam,lowasa,kikwete,chenge na mafisadi wengine jichangeni basi mtulipie deni watanzani maana nikiangalia nyuso za watanzania sioni uzekano wa kulipa hilo deni...
 
Wanikate kwenye PAYE yangu nimalizane nao!! Nadhani miezi miwili ntakua shamaliza deni langu hili la 488k.
Wale wengine uje ukatwe wewe mkuu wangu KK??

Acha wakatane nasikitika hata katoto kalikozaliwa last year kanadaiwa hii 488k, dhambi iliyoje hii.

Na mwaka 2012 zime-double from 11Tril to 22Tril, zimeenda wapi zote hizi??

Ukiachana na CAG kuna haja ya kuwepo bunge special la kuangalia matumizi ya mwaka unaoisha.

Nani ana uhakika 12Tril za last year zimetumika zote kikamilifu ukiacha zile alizoziona CAG??
 
Wanikate kwenye PAYE yangu nimalizane nao!! Nadhani miezi miwili ntakua shamaliza deni langu hili la 488k.

Mkuu hakuna atakayekatwa pesa hizi ni mbwembwe za wanasiasa.
Serikali zote duniani lazima zikope, hata kama zimekusanya kodi ya kutosha (which is not possible) nchi ukopa ili kuweka uchumi sawa ikiwa ni pamoja na ku-control inflation au kuchochea ukuaji wa uchumi.
 
Siasa bana, kawachanganya wananchi na kuondoka,

Angekuwa mkweli angewaeleza pia kuwa hilo deni ndo linalipa mshahara wake na hata gari alilopanda ni sehemu ya deni hilo.
Pia aeleze kuwa hilo deni sehemu imetumika kulipa ruzuku ya chama chake ambacho kinapokea mamilioni ya shilingi kila mwezi toka serikalini.
Vinginevyo ni upotoshaji na kujaribu kuwadanganya wananchi ambao hawawezi kuelewa vizuri mambo hayo.

acha na wewe kuwachanganya watu, mshahara wa mbunge na gari lake aliwezi kuingiza nchi ktk mzigo mkubwa wamadeni kama huu bali washa, mikutano, makongamano na safari lukuki za nje na matumizi mengine ya anasa yasiyo na tija na wananchi ndio yanayochangia kwa kiasi kikubwa katika deni la taifa bila kusahau ufisadi uliokithili kila mahala ambayo ni tunu kubwa tuliyoachiwa na CCM.
 
den linaendelea kukua wanakopesha tu wacha wayaone hatuwalipi ng'o.wanajipendekeza siwagome kutukopesha?nahis kunawanacho taka bana
 
kichekesho ni kuwa deni linawekwa in terms of billions. Mfano tume ya mipango inasema kuwa deni la taifa ni bil 18,819.4. Sasa ufipokuwa makini utadhani ni bilioni kadhaa tu.
 
MH ZITTO akiwa ndani ya manispaa ya IRINGA akifafanua kuhusu bajeti mwaka huu na jinsi ambavyo itakavyo kataliwa na Bunge unless otherwise ibadilishwe alielezea jinsi deni la Taifa tokea mwaka 2006 lilikua ni Trilion 6 mwaka 2009 ni Trilion 9, mwaka 2011 ni Trilion 11 na funga kazi ni 2012 ni Trilion 22 ambapo alisema kila mtanzania anapaswa kulipa sh 488,000/= hali ambayo iliwashutua wananchi waliokuepo baada ya kufafanua Trilion ipoje..

Pia aliendelea kuichambua bajeti ambapo alisema maskini Dr mgimwa waziri wa fedha ni km huu mzigo ni mkubwa sana kwake na km vile hajui kinachoendelea ktk bajeti...

Walikuapo wazungimzaji wengine kama James Malya aliekua kiongozi wa umoja wa vijana CCM Arusha na baadhi ya viongozi waliojivua magamba kama aliyekuwa anagombea ubunge kwa tiketi ya CCM mkoani Iringa ambapo alirudisha kadi tatu na za mke wake

Duh! Yaani katika miaka sita iliyopita deni la nje limeongezeka kwa Shilingi Trilioni 16!!!!!! Ni kipi hasa kilichofanywa na hii Serikali ya Magamba hadi deni kuongezeka kwa kasi kubwa kiasi hicho!?
 
Serikali makini hukopa kwa ajili ya miradi ya maendeleo, serikali legelege hukopa kulipa mishahara, kununua magari, kulipia safari za viongozi kuzurura.
 
Mkuu hakuna atakayekatwa pesa hizi ni mbwembwe za wanasiasa.
Serikali zote duniani lazima zikope, hata kama zimekusanya kodi ya kutosha (which is not possible) nchi ukopa ili kuweka uchumi sawa ikiwa ni pamoja na ku-control inflation au kuchochea ukuaji wa uchumi.

Kukopa hakuna anaekataa,tatizo ni matumiz ya hiyo pesa uliyokopa,imetumikaje?unakopa hela uinvest itakapoweza zaa au kufanya kitu tangible sio kunywea chai kwny vikao na safar za kijingajinga,halafu tuwalipie sisi
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom