Ushauri: Bashe jiuzulu New Habari corp. kwa makosa ya rushwa yaliyofanywa na watu wa chini yako

nyaupusi

Member
Jun 16, 2012
6
0
WanaJF huyu jamaa anaitwa Hussein Bashe ni kijana anaelelewa na mafisadi. Pia kwa taarifa zinazoendelea kufanyiwa uchunguzi ni kwamba amekuwa agent wa kuchafua watu kwenye vyombo mbali mbali. Sasa kwa ushauri wa bure tunamwambia ajiuzulu tuu ili kuirudishia new habari sifa yake ya zamani. Tunaona jinsi wafanyakazi wake walivyokamatwa Monduli kwa tuhuma za rushwa, na hatimae kufikishwa mahakamani. Jamani hio ni sehemu ndogo tuu, new habari sio ile ya zamani. Mtakubaliana na mimi kwamba magazeti ya new habari hayanunuliwi kama ambavyo yalikua yananunuliwa zamani, na hii trend inazidi kushuka itafika wakati hamna mtu atakae nunua kwasababu hii. Hivyo Bashe ushauri wa bure, just gooo, leave NHC
 
huo ni upuuzi uenda una chuku binafsi na bashe swala la rushwa lina muhusu nn yeye kujiuzulu? Na kushauri fuatilia kwa umakini zaidi ujue je ni kwel masyaga matinyi alichukua rushwa? Siyo kukulupuka na kuandika chuki zako binafsi hapa
 
Mtoa mada ni vema ukafanya utafiti kwanza kuhusu kilichotokea Monduli. Utakuwa mtu wa ajabu sana kama utaamini kwa asilimia 100 mambo ya TAKUKURU, these peole are very unprofessional. Bashe is simply fine, hana sababu ya kujiuzulu kwa maoni ya kijinga. Jumapili njema.
 
Bashe ni magamba, hivyo magazeti na waandishi wao ni magamba:llama:
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom