Sms kwa waziri dakta mwakyembe

Sabato masalia

JF-Expert Member
Oct 16, 2011
228
134
Nimepokea sms toka 0757087398 inasema " Mheshimiwa Dakta Mwakyembe waziri wa uchukuzi kwanza kabisa poleni sana kwa msiba wa aliyekuwa mkurugenzi wa DTS mhandisi Saad Fungafunga alale pema peponi, baada ya hilo hongera kwa mabadiliko uliyofanya ATCL, nasi huku mamlaka ya bandari TPA tunaomba ili kuleta ufanisi na kuondoa uozo vunja mtandao kwa kuwaondao Ephraem Mgawe[DG],Ahmad Koshuma,Julias Mfuko,Mhandisi Bakari Kilo na mama Florence Nkya, hawa ni tatizo kubwa kwa maendeleo ya bandari pia kama utaweza ili kuokoa reli unganisha pamoja na bandari iwe kitu kimoja kama enzi ya mkoloni , MUNGU IBARIKI TANZANIA
 
hiyo sms iko bomba sana hao waliotajwa ni ndio waharibifu wakubwa naamini Waziri Mwakyembe atawashughulikia kikamilifu tumpe muda ni mpiganaji mzuri.
 
umepokea wewe kama nani??
Au namba yako inafanana kidogo Na ya Mwakyembe mtumaji aka-wrong number??

Au unafahamiana Na Mwakyembe ndio mtumaji akaamua kupitishia kwako??
 
Nimepokea sms toka 0757087398 inasema " Mheshimiwa Dakta Mwakyembe waziri wa uchukuzi kwanza kabisa poleni sana kwa msiba wa aliyekuwa mkurugenzi wa DTS mhandisi Saad Fungafunga alale pema peponi, baada ya hilo hongera kwa mabadiliko uliyofanya ATCL, nasi huku mamlaka ya bandari TPA tunaomba ili kuleta ufanisi na kuondoa uozo vunja mtandao kwa kuwaondao Ephraem Mgawe[DG],Ahmad Koshuma,Julias Mfuko,Mhandisi Bakari Kilo na mama Florence Nkya, hawa ni tatizo kubwa kwa maendeleo ya bandari pia kama utaweza ili kuokoa reli unganisha pamoja na bandari iwe kitu kimoja kama enzi ya mkoloni , MUNGU IBARIKI TANZANIA
Hapo kwenye bolded, hao shida yao ni nini mkuu, maana nasikia hao ndiyo wachapa kazi ila kutokana na sifa za uchapa kazi watu wanazushia majungu kama kawaida ya wabongo. Toa detail mkuu ili tukunase sawa sawa, kama siyo basi hiyo sms itakuwa ni yale yale ya kuzushiana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom