wakati umefika serikali iweze kubadili mfumo wa ajira hasa kwa management za halmashauri zetu.kuna baadhi ya halmashauri zinafanya vizuri sana lakini nyingine huwezi kuamini.watu wenye uwezo wa...
Am a customer of Airtel modems. I bought one after seeing the advert that the modems cost 30,000/=tshs and have free internet for six months only to realise that the advert is far from the truth...
Jamuhuri imetoa vithibitisho kwamba (ELIZABETH MICHAEL)Lulu ana zaidi ya miaka18.
Aidha mawakili wa Jamuhuri wakiwakilisha vidhibitisho hivyo wamesema wamepata baadhi ya vidhibitisho ikiwemo cd...
Serikali imetoa tahadhari kwa madaktari nchini kuachana na mpango wao wa mgomo unaotarajia kuanza leo kwani utagharimu maisha ya watu wasio na hatia na kwenda kinyume na sheria na kiapo chao cha...
Katika moja ya mambo ambayo ninamkubali Lowasa, ni lile la kushughulikia vibanda vya biashara (viosk) vilivyokuwa vimezagaa katika jiji la Dar haswa mjini kati. Katika kamoeni hiyo, vurugu...
Mhe Pinda alimujibu Mhe Godfrey Zambi Bungeni kuwa Suala la Kahawa Mbichi , Wakulima Waachiwe wapange wao wenyewe bei ya kahawa Mbichi na wachague wenyewe ni nani wa kumuuzia !!
Zambi na...
Wanadodi,
Baada ya kutokea ubishani kuhusu kuwepo kipengele cha dini kwenye dodoso za sensa ya watu na makazi, itakayofanyika Agosti, 25 mwaka huu, naombeni tujadili kipengele cha kabila.
Kwa...
Akiwa anahojiwa na Ebony FM asubuh hii uko akiwa safarini, kwanza kaonyesha uungwana kukubali kusimamisha gari na kufanya interview, ametoa msimamo wake wa kuikataa budget na alipokuja kuulizwa...
Wakuu inaaminika ya kwamba watanzania wanaofanya kazi kwenye halmashauri zetu za miji na wilaya ndio wanaolipwa vizuri ukilinganisha na taasisi nyingine za serikali.
Kutokana na malipo kuwa...
James Magai
MVUVI wa samaki katika kijiji cha Butata kata ya Bukima Wilayani Msoma Vijijini mkoani Mara, Stephano Mboyi amenusurika kutafunwa na mnyama aina ya kiboko, baada ya kupambana naye ana...
ninasema bila lowasa,chenge na rostam ccm itabomoka tu nasema haya sababu ndio waliomuweka kikwete kwa pesa zao na mtandao wao na ndio waliofanya ccm ishinde 2005 2010 anayebisha aseme ndani ya...
Wana JF napenda kuchukua nafasi hii kulipongeza gazeti la mwananchi kwa kuwa gazeti la mfano katika siku za hivi karibuni. mfano wa kuigwa wa mwanachi kwa magazeti mengine. hivi karibuni kuna...
Kama uko karibu na mamayetu ukiwakama mzazi basi ninaomba umtumie ujumbe huu kwetu mamma yetu kipenzi najua uchungu wa mama kwa mtoto kama mtoto nionae mbali nashauri mama yetu ajihadhari na...
Wadau yule tajiri Yusuf Manji, ameshindwa kesi na kupokwa jengo la Quality Plaza ambalo alilijenga, akaliuza kwa shirika moja la hifadhi, na kisha akawa mpangaji. Tangu alipopanga hakupata kulipa...
Jamani huu si ndio unafikki kwa wabunge wa CCM? Pamoja na wabunge wa CCM kuikosoa bajeti, leo wanaikubali tena kwa kuitwa jina la mbunge mmoja mmoja, hawa waheshimiwa wanawasaliti wapiga kura...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.