ninasema bila lowasa,chenge na rostam ccm itabomoka tu nasema haya sababu ndio waliomuweka kikwete kwa pesa zao na mtandao wao na ndio waliofanya ccm ishinde 2005 2010 anayebisha aseme ndani ya ccm kwa kupiga kura za kawaida ccm itapat 30%ya idadi yoyote ya wapiga kura tanzania hii ajitokeze kiongozi yetote aseme hadharani kuwa ccm itapiku chadema 2015 huwezi kuwaita mafisadi watu 3 ndani ya chama chote wakati wote wameingizwa kwa pesa za hao watatu.sokoine alifanikiwa kuwakamata mafisadi wa kipindi kile sababu alikamat mtandao wote leo hii kikwete hatafanikiwa sababu baraza lote la mawaziri ni matokeo ya pesa chafu sasa mjiandae kumeguka na 2015 mtaelewa maana hii hongera lowasa kwa ujasiri