tshirts inayoongoza kwa mauzo dar na arusha

andrews

JF-Expert Member
Mar 28, 2012
1,679
152
attachment.php
 
hapa sasa kuna kila dalili kuwa siasa zimegeuka kuwa mradi wa kujiingizia kipato!!!

Vizuri sana,kama hakuna ajira tufanyeje? napenda ziongezwe na za Uzembe,Upuuzi,naomba kumi kwa ajili ya familia yangu kwa sababu sisi ni wahanga wakuu wa haya maneno. najua hata rizmoja ataitaka
 
wakati ule wa utawala wa george.w.bush wapinzani wake walichonga saaaana kuwa marekani imejichafua kisiasa nje,na mmarekani hana amani hata ya kutembea katika nchi yoyote kwa amani endapo tu atajulikana kuwa ni mmarekani,akaingia obama kwa mbwembwe zote watu wakajua marekani sasa itakuwa pepo ya dunia,haikuchukua hata mwaka nchi nzima ikakumbwa na mtikisiko wa uchumi ndani ya nchi,na nje ya nchi matatizo yakabaki pale pale.........
kwa kifupi:hata chadema hizo mbwembwe zitaisha wakishashika madaraka tu na mfumo wa omba omba ndio huo huo marekani na wafadhili wengine wameshawaowa kimawazo mda tu,hiyo chadema yenyewe mipasuko mitupu kinachowalinda ni kuwa wote mnagombania maslahi na lengo hamjalifikia,mkilifikia tu mtakuwa kama c.c.m.
maneno hayo yakumbukeni,sijawahi kupiga kura na sitopiga kura kwa kuwa sina imani na yoyte mpaka sasa na hata slaa ni mbwembwe tu,siku zipo mtakuja kuamini,kila mtu anapigia kelele maslahi yake na ya kundi flani,mwananchi na matatizo yake ni kama chambo tu,na yeye ndio muathirika wa mwisho
 
Swali moja tu kiongozi...je ungependa kupata T-shirt hii??
 
Safi sana wachaga, kila kitu ni fursa ya biashara. Nakumbuka zile DVD za mauaji ya Arusha ziliuzwa sana.
 
Nashauri iwepo pia ya rangi ya Njano na \Maandishi ya Kijani yanayosomeka DHAIFU COLLECTION
 
Back
Top Bottom