Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

motivation kazini based on 3 basic needs. 1.achievement-oriented people:focus on transform ideas into action,wisely and risk taker. 2.affiliation-orientated people:focus their energy on families...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mambo yanavyoendelea huko visiwani na hatma ya muungano ni swala linaloendelea kuleta wasi wasi kwa Watanzania walio wengi. Suala la hivi karibuni la kuchoma moto makanisa zidi ya manne limetia...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Wanajamii naomba mnifungue kwenye hili jamani,hii ardhi yetu ni mali ya serikali mpaka lini?hivi na jirani zetu nao wako kama sisi kenya ,rwanda ,burundi , DUNIA NZIMA NA NCHI ZILIZOENDELEA etc...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nipo katika mkutano na nimeshangaa kuona akija na msafara wa king'ora na magari ya serikali, ni sawa hii? Nawasilisha
0 Reactions
20 Replies
3K Views
WAPO wanawake wengi waliofanyiwa ukatili wa aina mbalimbali, lakini huu ambao amefanyiwa mwanamke, Nyamhanga Matiko (45) mkazi wa Kitongoji cha Senta Kijiji cha Masangura wilayani Serengeti...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Abiria waliokuwa safarini kwenda Mwnza leo kwa ndege za 540 na Precision air wamekwamba uwanja wa ndege wa JNIA na hali ni mbaya. Precision Air wamebadili ndege yao iliyokuwa iondoke saa 5...
3 Reactions
33 Replies
3K Views
Hawa watu hawataki kuwalipa madaktari huku wanakula mamilioni ya fedha. Lawrence Masha, Mizengo Pinda na Iddi Simba waambieni Watanzania ukweli. Source OAKLAND INSTITUTE Iowa-based investor Bruce...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Options John Mnyika Niliahidi kuandika kwa kina juu ya "Udhaifu" niliousema Bungeni 19 Juni, 2012.Nimeandika waraka; "Ukweli ni Uhuru" “ Makosa yetu mengine hutokana na woga; woga unaotuzuia...
7 Reactions
21 Replies
3K Views
Jamani naomba kuuliza jambo; hivi wabunge wa hapa kwetu Tanzania watokao kusini na wabunge wa Zimbabwe nani mkali kwa kutoa mada zisizo na akili? Kuuliza si ujinga, nimeuliza hivyo kwa sababu wiki...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Japokuwa wengi tunamuona Waziri mpya wa Nishati na Madini Prof Sospeter Muhongo kama shujaa mkombozi, lakini inashitua sana kututangazia kwamba bomba ka gas toka Mnazi bay hadi Somangafunga...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Katika mkoa wa Iringa watu wa daladala wana vioja sana. Sio ajabu dereva kushuka kwenda kusalimia rafiki zake. Daladala inasimama kituoni mpaka daladala nyingine iwe inakuja. Konda anamwambia...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Migomo yote huwa ni kutafuta haki inayofichwa,kandamizwa,cheleweshwa,potezwa.ni njia kubwa kuonyesha walio wengi urahisi wa kutafuta na kufichua haki,kwa harakaharaka wengi wanaweza kufikiria...
0 Reactions
1 Replies
954 Views
mwana habari maarufu nchini kwa habari za uchunguzi jerry muro baada ya kukaa nje ya tasnia ya habari sasa ametangaza kuanza rasmi kazi kesho jumapili saa tatu usiku soma hapa ...
0 Reactions
82 Replies
10K Views
  • Closed
JK alikliri wazi kwamba makanisa uanatengewa mabiluion ya shillingi ya serakali kwa ajili ya kutoa hoduma. hizi ni pesa nje ya bajeti ya serekali. Kwa bahati mbaya wabunge wengi huzungumzia...
0 Reactions
59 Replies
5K Views
Kwanza niliuliza juu ya sababu za mgomo. Na zifuatazo zilikuwa moja ya sababu * Miaka iliyopita kila wodi ilikuwa na mahabara na mgonjwa akifikishwa anapata vipimo na huduma maramoja. Lakini...
0 Reactions
32 Replies
4K Views
Haya yote yanayotokea yanatokana na sera mbovu na uongozi mbovu wa serikali ya ccm. Madaktari na familia zenu nyie ni wasomi na mnajua kabisa jinsi serikali ya ccm inavyowaibia wananchi...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Ni saa tano na robo usiku matokeo ya uchaguzi wa serikali za mtaa yanatangazwa kwa kumtangaza mshindi wa kiti cha mwenyekiti wa serikali ya mtaa wa bondeni kupitia CCM na kusindikizwa na mabomu...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Migomo imekuwa inaitesa sana Serikali yetu hasa katika miaka hii ya karibuni. Migomo imetikisa sekta ya Elimu na Afya na pia imeligusa kundi la wafanyakazi kwa ujumla wao, madai makuu yakiwa haki...
0 Reactions
0 Replies
885 Views
Kwa kweli leo Florence Majani mwandishi wa gazei la Mwananchi kanihuzunisha na hizi habari za kuwa sie watanzania wengi hutembea tukiwa tumelewa. Amenihuzunisha kwa sababu inaonyesha dhahiri jinsi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom