Airtel stop lies. Hizi modem hazina free internet; wezi wakubwa nyie | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Airtel stop lies. Hizi modem hazina free internet; wezi wakubwa nyie

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by imamu, May 22, 2012.

 1. i

  imamu Member

  #1
  May 22, 2012
  Joined: May 20, 2012
  Messages: 33
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Am a customer of Airtel modems. I bought one after seeing the advert that the modems cost 30,000/=tshs and have free internet for six months only to realise that the advert is far from the truth. I have to recharge the modem time and again like the other usual modems. Wana jamii Tanzania inachezewa sana. Hawa airtel ni wezi kama wezi wa madini. Wanaahidi mrahaba kwa vijiji vinavyozunguka halafu hawatoi mrahaba huo. Mwenzenu nimenunua modem yao kati ya hizo wanazotangaza lakini haina hiyo internet ya bure. Nilipowauliza wakaniambia inabidi uweke vocha ya shilingi elfu 6, nikaweka hakuna kitu. Nikawapigia customer care yao wakaniambia modem yako haijaunganishwa na internet, wakanishauri niweke vocha japo ya shilingi mia tano ili waniunganishe, nikaweka hamna kitu. Kwa sasa naitumia modem hiyo kama zile za zamani kabla ya hili tangazo yaani kila inapoisha vocha naichaji. Huu sio wizi kwa Watanzania? Tunanyanyasika hivi mpka lini ndugu zangu nchi yetu wenyewe? Saidia wana jamii forum mawazo yenu.
   
 2. Tangopori

  Tangopori JF-Expert Member

  #2
  May 22, 2012
  Joined: May 11, 2012
  Messages: 1,614
  Likes Received: 274
  Trophy Points: 180
  Mi mwenyewe. Wameniudhi kweli.
   
 3. NtakuwaSikuchukui

  NtakuwaSikuchukui Member

  #3
  May 22, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wezi kichizi jamaa wa india,tuwe macho.
  La msingi maneno kama free internet na unlimited internet yasimamiwe na TCRA waakikishe yanatumika ipasavyo sio wananchi wanadanganywa,lugha za kitapele ndani ya ardhi yetu, free wakati unalipia na ataukilipia upati internet saa hiyo hiyo hadi saa nne usiku,sasa huku si kutesana.
   
 4. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #4
  May 22, 2012
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  [​IMG]

  Prof. Nkomo wa TCRA ni mzuri sana wa kuongea kwenye makongamano. Hopefully team yake inayo-monitor kero za watu mitandaoni italitupia jicho hili tatizo na kupatiwa ufumbuzi.

  Promotions wa kadhaa tunazosikia na kuona mitandaoni, magazetini, kwenye luninga, n.k. huduma zake haziendani na kile kinachotangazwa. Bila shaka, huu ni mfano mmojawapo wa huduma zinazohadaa jamii.
   
 5. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #5
  May 22, 2012
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  NtakuwaSikuchukui, Unahoja ya msingi kwenye kutesana huku. Ila sidhani kama huo "uhindi", "uchina", "uzungu",au "ukenya" wao unasababisha huku kutesana, kama siyo usimamizi hafifu na uwajibikaji duni wa taasisi na vyombo husika ndani ya mipaka ya nchi yetu. Maana sheria zipo na watu wanalipwa mishahara kufatilia mambo kama haya, ila 'ndo hivyo tena...!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. MATESLAA

  MATESLAA JF-Expert Member

  #6
  May 22, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,252
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Mimi nimerudi kwenye ka moderm kangu ka sasatel najilia raha
   
 7. i

  imamu Member

  #7
  May 22, 2012
  Joined: May 20, 2012
  Messages: 33
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tena tangazo lao hili hapa juu ya threads zetu, waongo na wezi wakubwa hao. Waziri husika kamata mwizi men, au mpaka msubiri bunge liunde kamati jamani. TCRA, TRA mpo? Hao wanaweza kukwepa kodi wakijidai walikuwa kwenye promotions kumbe wanauza bidhaa kama kawa. Wezi haoooooooooooooo, sijui nipige lwange au niache. Kamateni hao haraka sana watueleze sababu za kutuchezea watanzania.
   
 8. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #8
  May 22, 2012
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,015
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  mimcho tu
   
 9. k

  kijiichake JF-Expert Member

  #9
  Jun 24, 2012
  Joined: Oct 13, 2010
  Messages: 285
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  waziri husika mwenyewe ni jizi kuliko hao, je? Jizi likamata jizi lenzake kutatokea nini? Kama sio kugawana nyara? Magamba wote ni majambazi.
   
 10. k

  kitenuly JF-Expert Member

  #10
  Jun 24, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 336
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Imekuwa tabia ya watawala misonge kuongea sana, na wakiongea ni mantiki kweli njoo kwenye utekelezaji, ni longo longo na ufisadina, Iam also the victim, wana hidden term zao, hivyo ni wizi wa mchana.
   
 11. leh

  leh JF-Expert Member

  #11
  Jun 24, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 846
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  dictionary yangu inasema kwamba maana ya free ni exempt from external authority, interference, restriction, etc.,; independent; unrestricted.
  sasa, kama kuna masharti hapo pembeni kama weka vocha ya sijui buku sita, how is that free?? na sio airtel tu, hata hizi mitandao zingine zina offer za "free" na masharti. wabongo tutadanganywa mpaka lini?? huu sio wizi mdogo
   
 12. M

  Mpigaji JF-Expert Member

  #12
  Jun 24, 2012
  Joined: Feb 6, 2011
  Messages: 386
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwa kuwa watanzania mnapenda vya BURE BURE na wao wakaamua kuwala kiulaini!!!!MSIPENDE VYA CHEE!
   
 13. Borat69

  Borat69 JF-Expert Member

  #13
  Jun 24, 2012
  Joined: Jun 17, 2012
  Messages: 2,536
  Likes Received: 1,220
  Trophy Points: 280
  Hili jamaa nalo ni JIIZI na DHAIFU mnooo. Utendaji ni wa KIHUNI tu. Hakutakuwa na jipya mpaka Tanzania kutakapokuwa na mfumo wa uwajibikaji au kuwawajibisha haya MAJIZI kwa manufaa ya UMMA.
   
 14. Lukansola

  Lukansola JF-Expert Member

  #14
  Jun 24, 2012
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 5,456
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  wezi wakubwa hawa, wakishakuuzia mbuzi kwenye gunia huwaoni tena matapeli hawa
   
 15. Borat69

  Borat69 JF-Expert Member

  #15
  Jun 24, 2012
  Joined: Jun 17, 2012
  Messages: 2,536
  Likes Received: 1,220
  Trophy Points: 280
  Moderator,naomba kwa niaba ya wanaJF kwa kuwa hilo tangazo Lao la Huduma husika limethibitishwa ni la kidanganyifu na Wizi,nafikiri ingekuwa Jambo la busara kuondoa Hilo tangazo lao kwenye hili Jamvi Tukufu. Maana JF inasimamia ukweli na Haki...na hapa sidhani Kama hiyo kampuni husika imeeleza ukweli na Kutenda Haki kwa wateja wake.
  Natanguliza shukrani.
   
 16. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #16
  Jun 24, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,288
  Likes Received: 22,053
  Trophy Points: 280
  tcra imewekwa mfukoni na makmpuni ya simu za mikononi, yanafanya kila aina ya wizi wa kimachomacho bila kuchukuliwa hatua zozote
   
 17. S

  Sometimes JF-Expert Member

  #17
  Jun 24, 2012
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 4,567
  Likes Received: 360
  Trophy Points: 180
  Ni wezi kweli! Mimi tarehe 12/6/2012 nilinunua modemu yao kule Mwanza kwa Tshs.30,000/- na kifurushi cha Tshs.10,000/- kwa mwezi mmoja. Nimeanza kutumia tarehe 14-15/6/2012 kwa kuangalia emails na JF. Ajabu, tarehe 16/6 kifurushi kilishayoyoma nami siku "download" kitu chochote. Hiyo kama haitoshi, tarehe 18/6 nikaweka kifurushi kingine cha Shs.10,000/- nacho kiliisha siku hiyo hiyo wakati siku "download" kitu chochote! Nimeamua sasa kuweka cha Siku moja kwa Shs.500/- angalau hakikatiki mapema. Hata maana ya "Mkongo wa Taifa" siuoni hapa Tanzania kama hali ni ile ile ya wakati wanatumia "satelite"!
   
 18. webondo

  webondo JF-Expert Member

  #18
  Jun 24, 2012
  Joined: Apr 29, 2012
  Messages: 1,724
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 160
  Wahuni sana hao!
   
 19. dfreym

  dfreym JF-Expert Member

  #19
  Jun 24, 2012
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 337
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  still a lier,still a lier, vodacom lier... still a lier na airtel lier..... still a lier.. hata tigo lier...... still a lier.... zantel pia lier.... still a lier........ miaka siyo shidaaa, they are still liers, ............ just a litle older..... still a lier.... taabia ni zile zilee....... tabia ni zie ziilee,........ na wezi ni wale wale,.....
   
Loading...