Nalipongeza gazeti la mwananchi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nalipongeza gazeti la mwananchi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Alfred Ngowi, Jun 22, 2012.

 1. A

  Alfred Ngowi Member

  #1
  Jun 22, 2012
  Joined: Jan 8, 2012
  Messages: 50
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wana JF napenda kuchukua nafasi hii kulipongeza gazeti la mwananchi kwa kuwa gazeti la mfano katika siku za hivi karibuni. mfano wa kuigwa wa mwanachi kwa magazeti mengine. hivi karibuni kuna gazeti moja lilitangaza katika ukurasa wake wa kwanza juu ya kupanda kwa mishahara ya wabunge na siku zilizofuata taarifa hio kukanushwa. sasa najiuliza hizi taarifa zimetoka wapi? mhariri wa hili gazeti amesomea wapi? kwanini waziri wa habari hachukui hatua? ni maswali ambayo huwa najiuliza na sina majibu yake hata kidogo. Wadau naomba mnisaidie kwenye hili
   
 2. KML

  KML JF-Expert Member

  #2
  Jun 22, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 863
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  una hisa nini???
   
 3. h

  hoyce JF-Expert Member

  #3
  Jun 22, 2012
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 1,119
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Ungesifia tu na kutaja sababu zako tungekuelewa, lakini hapo hapo ukaponda jingine, tunajiuliza lengo lako.
   
 4. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #4
  Jun 22, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,692
  Likes Received: 12,737
  Trophy Points: 280
  Sielewi bado
   
 5. M

  Msendekwa JF-Expert Member

  #5
  Jun 22, 2012
  Joined: Mar 11, 2012
  Messages: 440
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hujasema umelisifia Mwananchi kwa lipi.
   
 6. Pota

  Pota JF-Expert Member

  #6
  Jun 22, 2012
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 1,812
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  asante na wewe kuliona hlo nldhan ni mimi ndo sielewi...kumbe jamaa ndio dhaifu
   
 7. n

  ngako Member

  #7
  Jun 23, 2012
  Joined: Mar 13, 2011
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Udhaifu huu,mmeambukizwa na jamaa nn!!??
   
Loading...