Imekuwa ni kawaida ya bunge la Tanganyika linaloendelea uko Dodoma kuendeshwa na kila mtu. Utasikia asubui Mara Ndugai. mara Zungu na wengine wengi. Nionavyo katika bunge la wenzetu hasa Uingereza...
nimeangalia television jion ya TBC ,BUNGE LA KENYA LASEMA KWAMBA KUANZIA MWAKANI MBUNGE YOYOTE NI LAZIMA AWE NA DEGREE ,HONOUR HAZIKUBALIKI SWALA LIPO IVI VIP TANZANIA TYMEJIPANGAJE? NA...
Yamesemwa mengi kuhusu migomo na makusudio yake ikihusisha madaktari, walimu na wafanyakazi kwa ujumla wao. Si kwamba hatuoni hali halisi, tuna macho na kwa kweli tunaona. Ukweli ni kwamba...
Nimelifuatilia kwa muda lile tangazo la konyagi nikijinasibisha na roho ya nchi,NANUKUU "KONYAGI the spirity of nation".
Baada ya kufuatilia mijadala ya bungeni juu ya bageti, jinsi ambavyo...
Na Charles Kayoka
Wiki iliopita nilikuwa ziarani Bagamoyo. Nilifika katika mgahawa mmoja ambao ulionekakuwa msafi. Tulikuwa wengi. Siku ya kwanza mmoja wetu aliwauliza wahudumu kama kuna huduma ya...
Kuna mradi wa umeme pale Dodoma katika kitongoji cha Kikuyu Kinyambwa ambako wananchi wameahidiwa kupewa nguzo na Tanesco ili waanze kupata umeme wa mradi lakini mradi umekwama kwa kuwa...
Jamani sijaamini nilichokiona na kukisoma kwenye gazeti la tanzania daima jumapili hii,ndugu zangu wanajamii forum kwenye gazeti hili ukurasa wa 8 kuna habari na picha ya mwanaume aliyeota maziwa...
Juzi wakati wa kuchangia hoja ya bajeti ya serikali ya mwaka 2012/13,Vita Kawawa alisimama na kujaribu kueleza kuhusu deni la taifa.Kiukweli ninachoweza sema alijitahidi kutuhadaa watanzania kwa...
Diwani wa kata ya Manchira (CCM) na ambaye pia likuwa makamu mweyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Serengeti amefariki dunia,
Mungu awafariji wafiwa na wanaManchira kwa ujumla!
Rest in Peace...
Viongozi wa CCM wanaangalia zaidi maslahi ya chama chao hasa wanapofanaya maamuzi yanayowahusu watanzania wote. Wapinzani wanafanya maamuzi kwa kuzingatia hali halisi ya watanzania. Kwa hivo kuna...
Mtangazaj wa clouds fm Ephraim Kibonde leo jioni katika kipindi cha jahaz amemtetea Ngeleja kwa kauli yake ya kukashifu bajeti ya kambi ya upinzani na kuiita bajeti mbadala kitu ambacho Tundu...
Jamani hili tamko la vitisho kutoka kwa RC wa Dar Merck Sadiqi limekaa sawa? Ametangaza kwamba serikali itawachukulia hatua madaktari wote watakogundulika wanafanya mikutano ndani ya maeneo ya...
Waziri wa Afya Hussen Mwinyi amesema meza ya mazungumzo na madaktari imefikia ukomo, mengi ya madai yao yamekwisha tatuliwa(eg.kujiuzuru kwa watendaji wa wizara,call allowance,postmortum allowance...
Hakuna kada yenye viongozi dhaifu kama ya ualimu..mishahara ya wanaowaongoza iko chini ila wao hawana shida wamelala fofofo
angalia viongozi wa kada ya afya pamoja ya kuwa mishahara ya...
WanaJF
Mgogolo mkubwa umetokea kati ya DC Estelina KIlasi na wananchi wa wilaya mpya ya Wanging'ombe baada ya yeye kutaka ujenzi wa makao makuu ya wilaya yawe Mdandu na siyo Igwachanya kama...
It's a feat most able-bodied people would struggle to achieve - scaling one of the highest peaks on the planet.
Spencer West managed it using just his hands.
The 31-year-old, from Toronto...
Wakuu hii imekaaje? Nimesoma makala ya Kicheere katika gazeti la Mwanahalisi jana kuwa JK alifanya safari kwenda Brazil na shughuli iliyompeleka ni kumshawishi Maximo kuja kuifundisha timu...
Jana nimeshuhudia viashiria kadhaa vya kuanza kufeli kwa zoezi la uandikishaji wa wananchi mitaani katika zoezi zima la utoaji wa vitambulisho vya Taifa.
Nilipita katika ofisi za kata za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.